Tetesi: Vifo vya Wanajeshi wa JWTZ Minembwe, Congo: kama ni kweli, Je Samia na Mkunda wanahusika?

"INCHI IKIAMUA" Nchi ni nani? I mean huyo/hao ambao ni NCHI wanaoamua, ni nani?
Mimi nimemsikiliza Ramaphosa akirihutubia Bunge hapa wiki iliyopita kuwa anataka kuongeza ulinzi wa jeshi ndani ya Nchi ili kupunguza crime na pia kuwaondoa wanajeshi waliopo DRC warudi SA ifikapo march kwenye SONA yao..
Kashapelekwa wanajeshi huko Cape Flat kupambana na Gangsters..
 
Na walivyoside na Samia kwenye mauaji. Watz watawabeza na kuwatukana vibaya sana.
Nawahurumia wanajeshi wa chini.

Tuliona hata Wakati wakiwapeleka Watz walivyo kuwa wakiwabeza jinsi walivyoshindwa kulinda Watz na sasa wanaenda Congo.

Kazi wanayo
 
Gentleman nikuahidi ukifa nitamla mke wako, maana kufa ni faida 🤠🤠🤠
 
Mngese ndo ataamini huu ushuzi,, Inajulikana fika Rwanda ndo ujambazi linalopora rasilimali za Congo. Sasa Tz inaanzaje kutamani huo upuuzi. Some times we need hv to love our country.
 
South Africa wapo vizuri sana, wana PMCs wa kutosha na wameendelea kwenye masuala ya security technology, wanavifaa vya kisasa, lakini nashangaa crime rate ndani ya nchi ipo juu... au wahalifu nao wanaji update?

Nikikumbuka yale mapigano ya DAG dhidi ya wale magaidi kule Msumbiji mwaka 2020 ilikuwa ni hatari, DAG hao ni PMC kutoka SA, jamaa waliwapelekea moto magaidi kwa helicopter kuanzia katikati ya mji hadi magaidi wakatokomea misituni, kule msituni wakafuatwa , pelekewa moto kisawasawa hadi wakapoteana.... DAG walikuwa wakizunguka juu na helicopter 3, zinamwaga moto hizo haijapata kuonekana.

Jeshi la Msumbiji walikuwa wamepigwa na magaidi hadi wamekimbia, DAG walipoingia ilibidi magaidi wakimbie.

Pasipo amnesty international kuingia na kusema DAG waliua na raia, wale magaidi wangekipata.
 
Hio
Hio mbona kawaida wanajeshi wengi wanafiaga vitani ila wanasema wamekufa wawili au mmoja ili kupunguza taharuki na wasiwasi wa kujiunga na jeshi,

Hizi wanaziita ni Siri za jeshi
 
South Africa wapo vizuri sana, wana PMCs wa kutosha na wameendelea kwenye masuala ya security technology, wanavifaa vya kisasa, lakini nashangaa crime rate ndani ya nchi ipo juu... au wahalifu nao wanaji update?

"Sina uhakika kuhusu hali ya uwezo jeshi letu la taifa SANDF" - Bantu Holomisa​


View: https://m.youtube.com/watch?v=Z-YjKVTmIUoClement Manyathela anazungumza na jenerali Bantu Holomisa, Naibu Waziri wa Ulinzi na Maveterani wa Kijeshi kuhusu kunyimwa fedha kwa jeshi SANDF ambalo limesababisha hali yake duni ya sasa
 
Hapa kwetu afisa wa jeshi azungumze hivyo utasikia katekwa...
 
Huyu kahaba amejua kuua Watanzania. Sijui ana roho ya namna gani malaya huyu
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…