Wakoloni walivyokuwa wanaitawala Africa kikatili, ile mamlaka ilitoka kwa Mungu, sio?Mungu akusaidie sana usiangamie kilofa kwa kukosa maarifa,
Warumi 13
3 Kila mtu hana budi kutii serikali inayotawala. Kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na serikali zote zilizopo zimewekwa na Mungu. 2 Kwa hiyo anayepinga mamlaka inayotawala ana pinga chombo kilichowekwa na Mungu; na watu wanaoasi watajiletea hukumu. 3 Kwa maana watawala hawatishi watu wanaotenda mema bali wale wanaotenda maovu. Kama hupendi kuishi kwa kumwogopa mwenye mamlaka, basi tenda mema naye atakusifu. 4 Maana mwenye mamlaka ni mtumishi wa Mungu kwa manufaa yako. Lakini kama ukitenda maovu, basi ogopa kwa maana hatembei na silaha bure. Yeye ni mtumishi wa Mungu anayetekeleza adhabu ya Mungu juu ya watenda maovu. 5 Kwa hiyo ni lazima kutii wenye mamlaka, si kwa sababu ya kuogopa adhabu tu bali pia kwa ajili ya dhamiri.
6 Kwa sababu hiyo hiyo mnalipa kodi, kwa maana watawala ni watumishi wa Mungu ambao hutumia muda wao wote kutawala. 7 Wal ipeni wote haki zao; mtu wakodi mlipe kodi; na mtoza ushuru mli pe ushuru; astahilie kunyenyekewa, mnyenyekee; astahiliye hesh ima, mheshimu.
hiyo ndio dawa ya vibaraka na mamluki malofa na wakiuka sheria
tuliza mihemko,Wakoloni walivyokuwa wanaitawala Africa kikatili, ile mamlaka ilitoka kwa Mungu, sio?
ROSTAM AZIZI anasema, mbantu kufa kwa ajili ya maslai ya Raia feki ni HESHIMAInasemekana wanajeshi wengi wa JWTZ wameuawa kwenye misitu ya Minembwe inayokaliwa na watu wenye asili ya banyamulenge uko nchini Congo.
Baada ya wanajeshi wa JWTZ kushindwa Boma na Bukavu kwenye mapambano na M23, inasemekana Serikalini ya TZ kupitia Samia na Mkunda wakatuma wanajeshi kwenda kwenye mapori ya Minembwe inayokaliwa na banyamulenge uko Congo, na hii inadhaniwa kuwa inaweza kutokana na makubaliano ya fungu la pesa au madini kutoka kwa serikali ya Tshisekedi ya Congo.
Inasemekana serikali inaficha hii siri juu ya vifo vingi vya wanajeshi vilivyo tokea uko baada ya kupewa hii order.
Je, JWTZ linatumiwa na viongozi wa juu kama Mercenaries/Mamluki na kufanya ufisadi?
Amiri jeshi mkuu ndiye anayeamua askari waende vitani au la.Tofaut na nchi na viongozi ni nini??
Anaeongoza nchi iende vitan ni nani??? Wewe??
Hakuna kiumbe kisichokufa mkuuGentleman,
niko na wajibu wa kueleza ukweli kwenye mambo ya msingi yanayoendelea humu nchini na duniani kote,
na hiyo ni neema na baraka ya Mungu juu yangu na inayonifanya kua si mfu hata leo,
na nikuhakikishie tu gentleman kwamba,
MImi Sitakufa bali nitaishi, Nami nitayasimulia matendo ya BWANA.
Zab 118:17
r.i.p in advance gentlemanHakuna kiumbe kisichokufa mkuu
Nchi inatoa oda au viongozi ndio wanaotoa oda? Nchi inatoaje oda?Uwe na akili bas hata kama ni utahira ulionao jichetue ukiwa kwa watu??
Wanao uawa ni watoto ,ndugu na jamaa zetu kwasababu wanapewa oda na nchi
Si hao viongozi unao wachukia.
Au ukoo wenu wote hamna aliyepo jeshini
Mkuu hii lugha ilipanda meli.Some times we need hv to love our country.
Nitaleta mrejesho idadi ya waliokufa, Yuko mwana hanifichagi kuhusu mbanga hizi. Ngoja kukuche.
Vipi ya wale wasiotii mamlaka kutoka kwa shetani?tuliza mihemko,
adhabu ya wasio tii mamlaka za dunia zilizotoka kwa Mungu iko kwa mujibu wa maandiko.
ukishupaza shingo
Kwa hiyo tuseme kifo ni kifo tuu?Hakuna kiumbe kisichokufa mkuu