Tetesi: Vifo vya Wanajeshi wa JWTZ Minembwe, Congo: kama ni kweli, Je Samia na Mkunda wanahusika?

Kwa manaa hiyo ni sahihi kusema aatasaaa hakuna. Wakipigwa upo uzembe mahali.Je Nani wa kumvika nyau kengele kwenye shingo lake?
 
Inasemekana serikali inaficha hii siri juu ya vifo vingi vya wanajeshi vilivyo tokea uko baada ya kupewa hii order.

Je, JWTZ linatumiwa na viongozi wa juu kama Mercenaries/Mamluki na kufanya ufisadi?
Hii taarifa yako ya "inasemekana" haikukaa vizuri hapa mkuu 'pulex'. Taarifa nzito kama hizi haziwezi kuwasilishwa humu JF kwa mipasho mingi namna hii!

Sasa labda ngoja niulize swali: Hivi hao JWTZ (inatia kinyaa sana siku hizi kutumia jina hilo); hapa Tanzania hiyo Oktoba na Novemba waliua waTanzania wangapi. Sasa labda nasi tukawatafute Banyamlenge waje hapa ili waTanzania wasalimike.
Natumaini utaelewa maana ya swali langu.
 
mbona wanasema , hakatai watu hata kama ni waovu kiasi gani? au wewe funzo hilo hujalisikia?
Unapotosha kukidhi mahitaji yako, kama ilivyo kawaida na watu wa aina yako.
Hao "waovu" ni wanaojutia na kukataa uovu wao; sasa wewe hapa unalibwaga tu mradi uonekane unajuwa! kitu, kumbe huna lolote ujualo; kama alivyo Samia mwenyewe.
 
Unapotosha kukidhi mahitaji yako, kama ilivyo kawaida na watu wa aina yako.
Hao "waovu" ni wanaojutia na kukataa uovu wao; sasa wewe hapa unalibwaga tu mradi uonekane unajuwa! kitu, kumbe huna lolote ujualo; kama alivyo Samia mwenyewe.
Mkuu nimeanza kwa kusema "mbona wanasema" --- ni dhahiri hiyo statement inaashiria sijabobea.
 
Hakuna wanajeshi siku hz, ni majinga tu, , kama ndio hawa, wenye hulka za hovyo huku mtaani,wanajiona wana haki ya kuvunja sheria, za, barabarani, kupiga watu kisa,wamekukuta umevaa pensi, kama ya, jeshi,! Huwa nawaaangalia wanapokuwa wana panda mabasi, yao, Yale ya jeshi, wanajiona wamefikia, wanajiona watu wa maana, wakiwa, barabarani, ni mabio tu, wanataka wapishwe na kila mtu, kumbe mburukenge wanawahi kukaa lindo kushika siraha kama G4S,!
Anko kagame, piga Hao mpaka maji Waite mma!shenzi, kabisa
 
My concern is not on the credibility of these claims, but the reactions of my people. If it is true, something was wrong and if it was true, something is still wrong.
Hicho unachokisoma hapa ndio hali halisi na watanzania walipofikishwa , sasa msiba mtu wa CCM , polisi, magereza, mahakama, msanii,jeshi ni sherehe.

Sio suala la ajabu kwangu bali ni tatizo wakati linaanza kuchipua tuliongelea humu lakini watu wakaja na ule msemo wa watanzania ni wepesi kusahau ndio maana hata watekaji wakamwambia Melo tutakuteka watu watalia mwezi mmoja kisha watasahau.

Tumeona October 29, watanzania wameuwawa na jeshi hili hili likiwa linaangalia na licha ya uwepo wa taarifa ya wiki moja kabla waliletwa mamluko kutoka Uganda ila wao wapo busy kupasua matofali na kuilinda CCM.

Vyombo vya dola vimegeuka ni ngao ya CCM watu wanatekwa , wanauwawa na maiti haziwahi kupatikana ndugu wanaishia kuzika nguo unafikiri watu wataacha kushangilia misiba ya watu wanaooa wanashiriki moja kwa moja au kwa namna fulani kuleta maumivu katika familia zao?Katika hizi picha hapa unaweza kuamini ni familia moja tu ya Mzee Kibao ndio walifanikiwa kupata mwili wake tena ukiwa umeharibika kwa kumwagiwa tindikali na kutobolewa macho?

Hao wengine wote familia zao hazikuwahi hata kupata masali ya nguo walizovaa mara ya mwisho wametekwa.

Kwa hali hii ukisikia vyombo vya CCM siwezi kuviita dola vinatamba nchi iko shwari hizi familia na watu wengine tunaochukizwa na ushenzi huo tutakuelewa?

Jibu ni hapana , maana hao watu hawakupotea bali walitekwa na vyombo vya CCM hivyo hatuna haja ya kusikitika kwa mtu yoyote wa CCM akiuwawa au akifa.
 
Uwe na akili bas hata kama ni utahira ulionao jichetue ukiwa kwa watu??

Wanao uawa ni watoto ,ndugu na jamaa zetu kwasababu wanapewa oda na nchi
Si hao viongozi unao wachukia.
Au ukoo wenu wote hamna aliyepo jeshini
Aisee unawaza kutumia nini wewe hivi unaweza kwa matendo yanayoendelea unapata wapi uthubutu wakutetea hawa askari wa majeshi ha nchi ya Tanzania
 
Hapana lazima ushtuke, hii ina maana Samia na JK wanahujumu JWTZ ili iwe dhaifu na ikiwa dhaifu wataikontrol zaidi.

This is a wake-up call, arrest of JK and Impeachment of Samia is imminent
Wenye akili walishaliona hili ila.askari wetu wanaendelea shupaza shingo zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…