Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

TTCL? Basi bandika bandua Inabaki yenyewe.

Hio saizi yako haieleweki ipo kibiashara zaidi kuliko kukusaidia mteja.
 
Shukrani sana, nitajiunga hiki kikiisha then nitaleta mrejesho hapa. Kwasasa niko na Iine mbili, halotel kwaajili ya Royal na TTCL
Soon najiunga huko TTCL
Tukishabanana spidi itakuwa konokono

Unatumia vocha au "TTCL Pesa"
 
Soon najiunga huko TTCL
Tukishabanana spidi itakuwa konokono

Unatumia vocha au "TTCL Pesa"
Unaweza kununua Vocha bila TTCL pesa, kupitia Tigo pesa ama Mpesa, Tena ukiwa na App huna Hata ulazima wa kukariri namba ya Kampuni.
 
Unaweza kununua Vocha bila TTCL pesa, kupitia Tigo pesa ama Mpesa, Tena ukiwa na App huna Hata ulazima wa kukariri namba ya Kampuni.
Sawa Chief
Vipi maeneo kama ya Tukuyu itaweza kuhimili intaneti spidi ?
 
Wameweka cha 88 spesho, muda wa vifurushi vyote hivyo ni ndani ya siku 8
 
habari njema hii, wanaroam TTCL ama ya kwao wenyewe?
Hapo Bado sjajua njema pia sijaona Roaming kile ki ® juu hapo naamini itakuwa ni yao pia nimewasha tu nimekuta imekamata before ilikuwa uki switch to 4G inakata mnara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…