Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
- Thread starter
- #2,341
TTCL? Basi bandika bandua Inabaki yenyewe.Ha ha ha 77 leo naona wametoa nimeitafuta mpk nikachina. [emoji16]
Tigo saiz yako mie wakinipa GB 1 basi wanazigawa mb 400 facebook mb 400 whatsapp unabakiwa na kama 300 hv internet. Unaweza shangaa ukiangalia salio una mb 600 ila hazitembei.
Ukiangalia salio kwa tigopesa app ndio unagundua uhuni. Sijui wenzangu huko
Hio saizi yako haieleweki ipo kibiashara zaidi kuliko kukusaidia mteja.