Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Mbona mm nikijaribu kujiunga na hicho kifurushi cha 500 naambiwa sina vigezo.
 
Hajakosea hiyo ya mia5 ni kwa menu ya *149*81# na inakaa siku moja na hutumika na vocha ya kawaida,ila hiyo ya 600 ni kwa vocha za uni255 tu na inakaa siku 3.
Nawezaje kujiunga ili niweze kutumia vifurush vya chuo kwa airtel. Kwa kupiga *149*81# kile kifurush cha gb 1.2 kwa siku cha sh500
 
almost mikoa yote
Thanks kaka, ila makampuni yetu ya siku yanadharau sana Uzi kama huu walitakiwa wanajibu hoja kama hizi na kujitangaza pia...Mkuu kuna mtu aliniambia kuwa tukifika 5G hatutahitaji mitandao ya simu kuwasiliana?
 
Nifanye nini ili line yangu iwe katika mfumo wa chuo?
Kama unatumia halotel nitakubadilishia laini yako hiyo hiyo kwa namba yako hiyo hiyo kuwa laini ya chuo. Kwa mitandao mingine sijaweza. Gharama yake ni 10,000/= haina haja ya kuishika laini yako huko huko ulipo ninakupa huduma. Karibu.
 
Naweza kupata hizo vocha za vifurushi malum vya chuo
 
Thanks kaka, ila makampuni yetu ya siku yanadharau sana Uzi kama huu walitakiwa wanajibu hoja kama hizi na kujitangaza pia...Mkuu kuna mtu aliniambia kuwa tukifika 5G hatutahitaji mitandao ya simu kuwasiliana?
sidhani mkuu bado tutatumia mitandao ya simu, kinachobadilika ni kwamba 5g sio mobile phone first, inatengenezwa ili kuhudumia vitu zaidi ya simu kama vile magari yanayojiendesha yenyewe, smart car, na vifaa vyengine vidogo vidogo ambavyo kwa ujumla huitwa internet of things (iot). mfano marekani sasa hivi wana vifurushi vya magari,
 
Asante sana kwa elimu ya bure. Natamani Watanzania tuwetunaelimisha hivyi kwenye kila social network.
 
Mkuu hicho kifurushi cha usiku kwa airtel kinapatikana kwenye menyu ipi? maana nimeshindwa kukiona kwenye menyu ya aitel money
 
Yani Halotel wamekua waajabu tareh 27 mwezi ulio pita nili nunua bundle ya bila kikomo ya mwezi wakanipa 2gb za kasi lakini zilipo isha juzi waka kata data kabisa yani sipati kitu chochote mpaka nikinunua bundle lingine inavyo onekana bundle LA bila kikomo alipo tena au nyie aijawakuta hi
 
tigo washachange un offer aisee du ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…