Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

mwana mitandao yote haikamati utakua unakaa bush sana
 
mkuu mbna vodacom kuna 1500 dak 150 voda, 15 all network na 1 gb week, kwenye ya kwako tu nmeona imerudi tena
 
Visimu vya ovyo sana.
Mbona unavikandia mkuu?, ukiona hivyo una mkosi navyo. Kwangu kinapiga kazi fresh tu japokuwa nimenunua used kwa mtu. Ubovu ninaouna mimi kwenye hivi visimu ni battery life ukiwasha hotspot nonstop, masaa 4 betri linakuwa limeisha chaji.
Ubovu wake nini mpaka unasema visimu vya hovyo?
 
Shida sio betri, shida kama unatuma message then ukataka upige simu inabidi urudi nyuma upya, akiwezi fanya vitu viwil kwa wakati mmoja
 
Kuna jamaa amepost kwenye group nataka nijaribu kununua cha mwaka then nitaleta mrejesho ama kuna ambae amewahi kununua tujuzane.


OFA ZA BANDO KWA MIEZI SITA NA MWAKA:-
[emoji288][emoji91][emoji288][emoji91][emoji288][emoji91][emoji288][emoji91][emoji288][emoji91][emoji288]
Unganishwa na Bando za Offa za Muda mrefu kuanzia miezi sita mpaka 12 kwa Vodacom, Tigo, airtel, ttcl na halotel kwa bei nafuu:-

OFA KWA MIEZI SITA
Dakika 2499 + Gb60 + Sms Unlimited kila mwezi kwa muda wa miezi sita. Kwa Gharama ya 15,000/=

OFA KWA MWAKA/Miezi 12
Dakika 12000 + Gb700 + Sms Unlimited. zinaingia Kwa Pamoja. Kwa Gharama Ya 27,500/=

Kwa maelezo zaidi na Jinsi ya Kujiunga Nione inbox
[emoji288][emoji91][emoji288][emoji91][emoji288][emoji91][emoji288][emoji91][emoji288][emoji91][emoji288]
 
Mkuu kuna harufu ya utapeli hapa
1. Hakuna bundle zinazofanana mitandao yote
2. GB 700 hio mitandao ya simu ikupende kiasi hicho?
 
Wewe ni Sawa kabisa na Mimi. Naishia jiunga tu GB 1.2 Kwa 3000. Halotel naishia kuvitamana
 
Bootloop unamahanisha nini mkuu maana nikitaka ninunue niwe natumiaga kama router
Vinafikiaga muda vinawaka havimalizi yaani vinaishia njiani tu stuck on logo ya boot animation haviendelei vinaweza kaa hivo mpaka chaji ikaisha tu [emoji23] ndo bootloop hiyo kaka..
 
Mhhhhh
 
Hawa huwa wanabadili, at least Airtel wakishakupangia unaweza kaa hata miaka 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…