Nimejaribu kusajili laini karibia zote yaani
Zantel, Halotel, Ttcl, Tigo, Airtel.
ZANTEL: wana bando nzuri ila speed ya internet maeneo yangu ni Empty kuanzia kazini hadi nyumbani ni Empty.
HALOTEL: wana bando nzuri ila Speed ya Internet eneo langu ni empty kazini hadi nyumbani ni empty
TTCL: Wana bando nzuri ila speed ya internet eneo langu ni empty
TIGO: Huu mtandao hamna kitu kabsa yaani bora hata Zantel.
AIRTEL: Nao ni empty eneo langu kuanzia kazini hadi nyumbani.
VODACOM: Internet yao iko Very fast na Speed ya hali ya juu kuanzia kazini hadi nyumbani kwangu, shida yao iko kwenye bando zimepanda kias kwangu nashindwa kumudu gharama za bando.
Mwisho: Nimeamua kubaki tu na Vodacom japo wananinyonya sana, sina jinsi 1Gb kwa elfu 3000/= kwa wiki. [emoji26]