Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
- Thread starter
-
- #4,361
Mkuu bado naitest, ila so far ni hit and miss, ila kwa 25000 silalamiki. Kipo kifurushi cha 25000 cha 4mbps, 50,000 cha 8mbps na 80,000 cha 12mbps.Mkuu hivi wanatumia waya hizi hizi za simu zilizosambaa, kuna jirani yangu ana simu ya ttcl waya unapita juu yangu
Nipo Mkoani kwasasa
Gharama kwa mwezi ipoje na speed
Natamani nikufate pm ila nshapigwa sana na hizi offersNaunganisha tgo gb 72 za mwaka mzima ambapo kila mwez utapata GB 6 kwa siku 14 kwa mwaka mzima Bei Pm. ( Malipo kabla ya kazi).
Pia naunganisha free call tgo kwa miaka 2 ( malipo baada ya kazi)
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]Only for seriously people.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Jamaa ni Mwaminifu Usijali mfuateNatamani nikufate pm ila nshapigwa sana na hizi offers
Akikupiga, nitakurudishia. Namuamini 100%+Natamani nikufate pm ila nshapigwa sana na hizi offers
kabisa mkuu nafwatilia tatizo ttcl process mdefu mara njoo na tin number, mara kuwe na muhuri wa office process ndefu sana ndo shida yao, alaf router ya adsl umenunua wapi na bei gani mkuuHii ngumu mkuu bora ujilipue na TTCL Adsl.
Mimi nimeenda installation bure, nimelipa tu 25000 basi, jaribu kuongea nao vizuri. Ila hawana router inabidi utafute mwenyewe.
Ndo Tatizo hilo, hapo atakuwa amekutajia huduma nyengine, kama kuna ofisi kubwa nyengine karibu waweza kwenda ukaulizia vizuri.Aisee! Tatizo huku nilipo ofisini yupo bimkubwa yaani hajui chochote kuhusu hii. Kila nikienda lazima apige simu kuuliza. Kanitajia gharama kibao
Waambie internet ya Nyumbani haina process ukisema ya ofisini ndio kuna process, vifurushi ni vile vile tu.kabisa mkuu nafwatilia tatizo ttcl process mdefu mara njoo na tin number, mara kuwe na muhuri wa office process ndefu sana ndo shida yao, alaf router ya adsl umenunua wapi na bei gani mkuu
Chief naomba nikuulize, hivi hiyo ADSL ndo zile nyaya zinazopita kwenye nguzo kama za umeme...!?Waambie internet ya Nyumbani haina process ukisema ya ofisini ndio kuna process, vifurushi ni vile vile tu.
Router nilinunua used mkuu, 40,000 kwa mtu, za kwao wenyewe TTCL wanauza 55000, ila zimeisha.
Mtaani wamepandisha bei mpaka 125,000 sababu wanajua TTCL hawana stock.
Ndo hizo hizo mkuu. Hizo waya lakini ni kutoka Dslam kwenda kwa mteja, As long as Backbone yao ipo vizuri wewe unaletewa waya wako mpya. Pengine huo uliokatika ni wa Mteja wa Zamani sana.Chief naomba nikuulize, hivi hiyo ADSL ndo zile nyaya zinazopita kwenye nguzo kama za umeme...!?
Na kama ndio hizo mbona mara nyingi nakuta waya zimekatika ama nguzo kuanguka, vipi huduma haitokuwa inasumbua sana?
Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Mkuu kwa sisi watu wa ubungo hii inatufaaNdo hizo hizo mkuu. Hizo waya lakini ni kutoka Dslam kwenda kwa mteja, As long as Backbone yao ipo vizuri wewe unaletewa waya wako mpya. Pengine huo uliokatika ni wa Mteja wa Zamani sana.
Inategemea na matumizi mkuu usiweke tu expectation kubwa, Adsl si fiber ama 4g. Mambo madogo madogo kama youtube na kubrowse itafanya ila sababu ya upload speed ndogo vitu kama video call sahau. Pia kuangalia mpira itategemea na website.Mkuu kwa sisi watu wa ubungo hii inatufaa
Mkuu, wakishakufungia ADSL kwa matumizi ya nyumbani, wanakupa vifaa vipi na vipi?Inategemea na matumizi mkuu usiweke tu expectation kubwa, Adsl si fiber ama 4g. Mambo madogo madogo kama youtube na kubrowse itafanya ila sababu ya upload speed ndogo vitu kama video call sahau. Pia kuangalia mpira itategemea na website.
View attachment 2096215
Kifurushi cha 25000 hiko. Si mbaya kwa muono wangu kama unatumia mwenyewe ama wewe na mwenzako mmoja.
Router/modem, kunakuwa na kabox kadogo kanachoconvert ule waya wa simu kuja mfumo wa adsl na waya unaotoka kwenye box kuja kwenye router.Mkuu, wanapokufungia ADSL kwa matumizi ya nyumbani, wanakupa vifaa vipi na vipi?
Router/modem ni ndogo (Mi-Fi)? au kubwa?Router/modem, kunakuwa na kabox kadogo kanachoconvert ule waya wa simu kuja mfumo wa adsl na waya unaotoka kwenye box kuja kwenye router.
Kikawaida vyote hivi TTCL wanauza 55,000 lakini sasa hivi hawana stock, hivyo inabidi ununue mwenyewe.
Fremu za internet càfes zinakuwaga na mawaya na makorokoro mengi sana, wanatumia aina gani ya internet wale?, ADSL au fiber?Router/modem, kunakuwa na kabox kadogo kanachoconvert ule waya wa simu kuja mfumo wa adsl na waya unaotoka kwenye box kuja kwenye router.
Kikawaida vyote hivi TTCL wanauza 55,000 lakini sasa hivi hawana stock, hivyo inabidi ununue mwenyewe.
Jamaa kaingia mitiniAny update ya vifurushi vya voda
Adsl na fiber vifaa ni vile vile ila model tofauti.Fremu za internet càfes zinakuwaga na mawaya na makorokoro mengi sana, wanatumia aina gani ya internet wale?, ADSL au fiber?
Nhisi vinafaa vinakua vingi au vidogo kutokana na aina ya intaneti unayofungiwa, au matumizi, ukienda kwa wengine, home internet yao wana vifaa kibao
Router ni kubwa mkuu, nitaweka picha baadae mkuuRouter/modem ni ndogo (Mi-Fi)? au kubwa?
Hako kabox kadogo kanako-convert waya wa simu kuwa mfumo wa ADSL kanaitwaje?, DOWANLOAD picha ya hako kabox halafu upload tukaone
Poa Mkuu.Router ni kubwa mkuu, nitaweka picha baadae mkuu