Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Unatumia kwenye nini hio router?
 
Shukrani Mkuu kwa majibu mazuri, hapo nimekusoma vyema kabisa.
 
Kuna mdau alisema uweke namba yako ili kila mtu akutafute kwa wakati wake.ila kitendo chakukufata inbox halafu badae nikutumie au nikutafute kwa namba yangu hii aijakaa poa.ukiweka namba itapendeza zaidi
 
Mkuu tuokoe na Voda mabundle yameshaisha huku Kudadeki
 
Mkuu wanaunganisha kwa kutumia dish au au waya?
Niko Morogoro nmefikiria kuipata hiyo huduma.
 
.hats file za Internet bure kwa Voda Aitel na Halotel tu
mwenye uhitaji nicheck Pm.

View attachment 2100415
Mkuu, hongera kwa kutoa config files bure. Ungeuza files hapa JF watu wangekuona tapeli.

Mpaka sasa, files zinazofanya kazi ni za Airtel tu, mitandao iliyobaki sidhani kama kuna files zinafanya kazi. Labda VPN za DNS

Airtel yenyewe siku hizi imeanza kusuasua ku-connect, mpaka ulazimishe mara nyinginyingi ndiyo inakubali.
 
Waya wanatumia
Nikikuwa naangalia angalia router zinazouzwa eBay, Kumbe kila kitu limit na specifications zake?, kwa kutokujua, nilikuwa nafikiri kila router inaweza kufanya chochote kwenye intaneti, yaani kubrowse na kustream, kumbe router nyingine haziwezi kustream.
 
Router haistream? Sijaelewa, ila adsl ni tech ya kizamani sana, watu wanatumia toka 90s huko. Ndio maana router zake ni b,g na n router za kisasa ni ax na za pili kwa ukisasa ni ac (wifi standars).
 
Mkuu naomba hat file la Airtel linalopiga kazi muda huu
 
Anauza buku 10 mkuu. Ila anasema ni uhakika, tusubiri waungwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…