Mpigaji huyo. Files anazouza zingekua zinafanya kazi, screenshot yake ya tangazo ya kuuza file ingekua inasoma CONNECTED, lakini inasema STARTING.... Kwenye social media zote mpaka facebook anatumia screenshot hiyohiyo.Anauza buku 10 mkuu. Ila anasema ni uhakika, tusubiri waungwe
Sawa mkuuHakuna, asikudanganye mtu. TTCL yenyewe hakuna, ipo ya asubuhi tu. Mtandao wenye config files zinazofanya kazi ni Airtel tu basi.
Muhuni huyoMpigaji huyo. Files anazouza zingekua zinafanya kazi, screenshot yake ya tangazo ya kuuza file ingekua inasoma CONNECTED, lakini inasema STARTING.... Kwenye social media zote mpaka facebook anatumia screenshot hiyohiyo.
Kama kweli files zake zinafanya kazi, watakuja watu kutoa shuhuda hapa.
View attachment 2103810
Huyo ni tapeli mkipigwa msiseme hatuwaambiaAnauza buku 10 mkuu. Ila anasema ni uhakika, tusubiri waungwe
Samahani kidogo mkuu, kuna wengine tulinunuaga zile simu za ttcl zamani ambazo zina built-in modem. Je, kwasasa tunaweza kufanya dialup connection kweli?_ maana niliifungia tu ndani nikaona Haina ishu.Adsl pia ni ya kizamani mkuu ila ina unafuu compare na Satelite.
Unakumbuka zamani enzi za modem za 3.2mbps? Kipindi cha 3g unasubiria movie nusu saa idownload. Expect speed kama hii kwa adsl.
Yenyewe inatumia zile waya za shaba ambazo zamani tulitumia kwenye simu za mezani. Na ukiunga adsl unapewa na namba yako kabisa inayoanziwa na 0222 kama ya simu za mezani.
Fiber ni mziki mwengine ipo fast sana hasa ping, ni 1ms ama 2ms, sometime wakati unabrowse ni kama hutumii internet ukigusa tu inafunguka. Sema coverage yake kwa sasa ni ndogo sana ipo tu mjini katikati.
Hivyo mkuu nenda tawi la TTCL karibu na Nyumbani ulizia, kama Fiber ipo kwako unga hio 20mbps kwa 55,000 ni bei nzuri sana.
Kama haipo covered adsl ndio option iliobakia. Adsl naona kifurushi cha 25000 na 50000 vina value zaidi 4mbps na 8mbps. Mimi siamini kama adsl ya TTCL inaweza gonga 8mbps hivyo nimechukua cha 4mbps, unaweza jaribu cha 50000 ukaleta feedback.
Sijajua kama zipo compatible na hii adsl wanayotumia sasa hivi ila ipo chance ikafanya kazi mkuu.Samahani kidogo mkuu, kuna wengine tulinunuaga zile simu za ttcl zamani ambazo zina built-in modem. Je, kwasasa tunaweza kufanya dialup connection kweli?_ maana niliifungia tu ndani nikaona Haina ishu.
Maana ilikua na Ethernet cable kabisa ambayo unaiplug kwenye pc. Ninachojiuliza je, ukiactivate kifurushi halafu ukajaribu dialup connection inaweza kukubali kweliSijajua kama zipo compatible na hii adsl wanayotumia sasa hivi ila ipo chance ikafanya kazi mkuu.
Sasa cable bado ipo nyumbani? Ukiwasha inaonesha signal zipo?Maana ilikua na Ethernet cable kabisa ambayo unaiplug kwenye pc. Ninachojiuliza je, ukiactivate kifurushi halafu ukajaribu dialup connection inaweza kukubali kweli
Ipo mkuu. Sema tu niliifungiaga kwenye box for almost 6 years sijaitumia kabisaSasa cable bado ipo nyumbani? Ukiwasha inaonesha signal zipo?
Namaanisha ile cable toka kwenye nguzo kuja nyumbani.Ipo mkuu. Sema tu niliifungiaga kwenye box for almost 6 years sijaitumia kabisa
Hapana zilikua ni zile wireless, inakua na kama kale ka antenna ka kwenye modem. Mfano wa hiiNamaanisha ile cable toka kwenye nguzo kuja nyumbani.
Pengine mkuu ikawa ni ya CDMA, hii ilishafungwa. Ila kama ni Adsl bado ipo, ila adsl inahitaji waya toka kwenye nguzo.Hapana zilikua ni zile wireless, inakua na kama kale ka antenna ka kwenye modem. Mfano wa hii View attachment 2105127
Mfuate tu Hana Longolongo kama WengineKwanini usiweke namba hapa unajua humu ni privacy
UPDATE*Proof; Internet free na hiyo VPN mwenye uhitaji aje PM
Nikupe hiyo App na Settings zake....
View attachment 2107058f
U
UPDATE*
vpn hii inakubali kwa laini za Airtel na ttcl tu..... na ni free bila kikomo cha mda wala data....
Nenda Facebook utawapata ila hapa haji mtu baki na ujinga wakoProof; Internet free na hiyo VPN mwenye uhitaji aje PM
Nikupe hiyo App na Settings zake....
View attachment 2107058f
Free call Leo zipo unaungwa kupiga Tigo kwa miaka 2 njoo nikuunge [emoji118][emoji118][emoji118][emoji118]Malipo baada ya kazi
Tigo Gb za mwakan nzima kila mwez gb 6 kwa Siku 14 kila mwez kwa mwaka mzima zipo njoo [emoji118][emoji118][emoji118][emoji118]Malipo kabla
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Bado hujajua vzur kuficha vitu kwenye videos..... jitahidi kuboresha hilo[emoji16][emoji16]U
UPDATE*
vpn hii inakubali kwa laini za Airtel na ttcl tu..... na ni free bila kikomo cha mda wala data....