Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Anauza buku 10 mkuu. Ila anasema ni uhakika, tusubiri waungwe
Mpigaji huyo. Files anazouza zingekua zinafanya kazi, screenshot yake ya tangazo ya kuuza file ingekua inasoma CONNECTED, lakini inasema STARTING.... Kwenye social media zote mpaka facebook anatumia screenshot hiyohiyo.

Kama kweli files zake zinafanya kazi, watakuja watu kutoa shuhuda hapa.

Screenshot_20220201-100722_UC Browser.jpg
 
Mpigaji huyo. Files anazouza zingekua zinafanya kazi, screenshot yake ya tangazo ya kuuza file ingekua inasoma CONNECTED, lakini inasema STARTING.... Kwenye social media zote mpaka facebook anatumia screenshot hiyohiyo.

Kama kweli files zake zinafanya kazi, watakuja watu kutoa shuhuda hapa.

View attachment 2103810
Muhuni huyo
 
Adsl pia ni ya kizamani mkuu ila ina unafuu compare na Satelite.

Unakumbuka zamani enzi za modem za 3.2mbps? Kipindi cha 3g unasubiria movie nusu saa idownload. Expect speed kama hii kwa adsl.

Yenyewe inatumia zile waya za shaba ambazo zamani tulitumia kwenye simu za mezani. Na ukiunga adsl unapewa na namba yako kabisa inayoanziwa na 0222 kama ya simu za mezani.

Fiber ni mziki mwengine ipo fast sana hasa ping, ni 1ms ama 2ms, sometime wakati unabrowse ni kama hutumii internet ukigusa tu inafunguka. Sema coverage yake kwa sasa ni ndogo sana ipo tu mjini katikati.

Hivyo mkuu nenda tawi la TTCL karibu na Nyumbani ulizia, kama Fiber ipo kwako unga hio 20mbps kwa 55,000 ni bei nzuri sana.

Kama haipo covered adsl ndio option iliobakia. Adsl naona kifurushi cha 25000 na 50000 vina value zaidi 4mbps na 8mbps. Mimi siamini kama adsl ya TTCL inaweza gonga 8mbps hivyo nimechukua cha 4mbps, unaweza jaribu cha 50000 ukaleta feedback.
Samahani kidogo mkuu, kuna wengine tulinunuaga zile simu za ttcl zamani ambazo zina built-in modem. Je, kwasasa tunaweza kufanya dialup connection kweli?_ maana niliifungia tu ndani nikaona Haina ishu.
 
Sijajua kama zipo compatible na hii adsl wanayotumia sasa hivi ila ipo chance ikafanya kazi mkuu.
 
Sijajua kama zipo compatible na hii adsl wanayotumia sasa hivi ila ipo chance ikafanya kazi mkuu.
Maana ilikua na Ethernet cable kabisa ambayo unaiplug kwenye pc. Ninachojiuliza je, ukiactivate kifurushi halafu ukajaribu dialup connection inaweza kukubali kweli
 
Hapana zilikua ni zile wireless, inakua na kama kale ka antenna ka kwenye modem. Mfano wa hii View attachment 2105127
Pengine mkuu ikawa ni ya CDMA, hii ilishafungwa. Ila kama ni Adsl bado ipo, ila adsl inahitaji waya toka kwenye nguzo.

Cdma zenyewe zilitumia minara ya simu ila wote TTCL na Zantel walifunga mitambo tayari.
 
Proof; Internet free na hiyo VPN mwenye uhitaji aje PM
Nikupe hiyo App na Settings zake....
f
 
Free call Leo zipo unaungwa kupiga Tigo kwa miaka 2 njoo nikuunge [emoji118][emoji118][emoji118][emoji118]Malipo baada ya kazi

Tigo Gb za mwakan nzima kila mwez gb 6 kwa Siku 14 kila mwez kwa mwaka mzima zipo njoo [emoji118][emoji118][emoji118][emoji118]Malipo kabla

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app

Mkuu hii ni tigo kwa tigo au tigo kwa mitandao yote
 
Back
Top Bottom