Ukihamisha kwenye laini ambayo Haina bando ambayo ndo ya Tigo inagomaWazee wa SKY VPN. ingieni kwenye kipengele cha Add time kisha chagua 50mb utaona wameandika 15 left today.
Utapewa 50mb mara 15 = 750mb kila siku
unaweza kubalans ukaangalia mara 10 ukapata 500mb kisha ukabakiza 250mb kama reserve usije ukatoka hewani
Msisahau kutoa SADAKA kwa namba 0744033555 ili tuendelee kuleta vitonga vingi zaidi[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
kima cha chini cha sadaka ni 1,200[emoji51][emoji51]
View attachment 2162773
Ni kweli imetusaidia sana,ngoja nijipange nikutoe hata ya bia mojaSadaka muhimu sana ili tulete machimbo mengine zaidi.
Mkuu kuna namna unakosea tuUkihamisha kwenye laini ambayo Haina bando ambayo ndo ya Tigo inagoma
Kuwatch adds unatumia laini yenye MB then ukimaliza unarudi tigo kuperuzi bure.Ukihamisha kwenye laini ambayo Haina bando ambayo ndo ya Tigo inagoma
Nasubiri machimbo ya Vodacom. Huko kwingineko Laini Hazikamati vizuriSijaona sadaka hata mia mpaka sasa
wajuba wanataka mseleleko bila kuumia
My friend forget about it better enjoy yourself huwajui wabongo wewe na kitu chengine unachokosea unatoa hizi loop holes public inakuwa rahisi wale jamaa kuzinyaka na kuzidhibiti..😂Sijaona sadaka hata mia mpaka sasa
wajuba wanataka mseleleko bila kuumia
Voda wanakaba mpaka penati.Nasubiri machimbo ya Vodacom. Huko kwingineko Laini Hazikamati vizuri
Sahau kuhusu voda mkuu they are not easy and cheap hawa jamaa wana tech ya kutosha ndugu..😃Nasubiri machimbo ya Vodacom. Huko kwingineko Laini Hazikamati vizuri
Tutapata tu ndugu. Unajua Ukibana sana Kuna Tundu Litapatikana One daySahau kuhusu voda mkuu they are not easy and cheap hawa jamaa wana tech ya kutosha ndugu..[emoji2]
Also your keeping your number open! Don't you know it's not fine for doing that!.. nenda kasome tcra kuhusu matumizi ya VPN uone kifungo chake na fine!!😂Sijaona sadaka hata mia mpaka sasa
wajuba wanataka mseleleko bila kuumia
Mtapata ndio ila wale jamaa wanaakili timamu hata mkipata msitegemee itakaa siku nyingi..Tutapata tu ndugu. Unajua Ukibana sana Kuna Tundu Litapatikana One day
line ikiwa na mb inakuaje sasa hapo znaenda za free au ambzo zlikuwemo ?Hello wazee wa vitonga a.k.a free data
mmenijaza upepo nkajua ntapata hata buku tano ya sadaka bure kabisa😅😅😅
leo nawaletea Kitonga kingine cha mb 100 kila siku.
weka line ya Tigo karibu!!
kila kitu kifanyikie hapa hapa sitaki mambo ya PM.
zoezi linaanza baada ya nusu saa
View attachment 2160280
Tusubiri ndugu. Maana Naona Leo nilikuwa najiunga Bando la GB 1.5 limepandishwa Bei ghaflaMtapata ndio ila wale jamaa wanaakili timamu hata mkipata msitegemee itakaa siku nyingi..
Vodacom kazi ni kwako ndo maana huwa nauamini huu mtandao.
Nunua vocha ndugu usilalame..😂Tusubiri ndugu. Maana Naona Leo nilikuwa najiunga Bando la GB 1.5 limepandishwa Bei ghafla
Sasa utanunua Bundle bila Vocha Ndugu!? Nimekuambia nilikuwa napata GB 1.5 kwa 1850 per day ila Wamekipandisha BeiNunua vocha ndugu usilalame..[emoji23]
Huo usemi namaanisha uendelee kununua..Sasa utanunua Bundle bila Vocha Ndugu!? Nimekuambia nilikuwa napata GB 1.5 kwa 1850 per day ila Wamekipandisha Bei
Lack of personal privancy is using of free WI-FIWakuu ambao mko around maeneo ya mikocheni, mni-pm niwape free password ya WiFi ya Regency Hotel. Unaenda unakaa pale chini unazuga na hata maji madogo kumbe unashusha mzigo wa maana ukitoka umetoka na faida. Au nafanya makosa watanzania wenzangu?
Kivipi mkuu wakati Una browse anonymously kwa vpnLack of personal privancy is using of free WI-FI