Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Wazee wa SKY VPN. ingieni kwenye kipengele cha Add time kisha chagua 50mb utaona wameandika 15 left today.

Utapewa 50mb mara 15 = 750mb kila siku

unaweza kubalans ukaangalia mara 10 ukapata 500mb kisha ukabakiza 250mb kama reserve usije ukatoka hewani

Msisahau kutoa SADAKA kwa namba 0744033555 ili tuendelee kuleta vitonga vingi zaidi[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]

kima cha chini cha sadaka ni 1,200[emoji51][emoji51]

View attachment 2162773
Ukihamisha kwenye laini ambayo Haina bando ambayo ndo ya Tigo inagoma
 
Sijaona sadaka hata mia mpaka sasa

wajuba wanataka mseleleko bila kuumia
Also your keeping your number open! Don't you know it's not fine for doing that!.. nenda kasome tcra kuhusu matumizi ya VPN uone kifungo chake na fine!!😂
 
Hello wazee wa vitonga a.k.a free data

mmenijaza upepo nkajua ntapata hata buku tano ya sadaka bure kabisa😅😅😅

leo nawaletea Kitonga kingine cha mb 100 kila siku.

weka line ya Tigo karibu!!

kila kitu kifanyikie hapa hapa sitaki mambo ya PM.

zoezi linaanza baada ya nusu saa

View attachment 2160280
line ikiwa na mb inakuaje sasa hapo znaenda za free au ambzo zlikuwemo ?
 
Mtapata ndio ila wale jamaa wanaakili timamu hata mkipata msitegemee itakaa siku nyingi..
Vodacom kazi ni kwako ndo maana huwa nauamini huu mtandao.
Tusubiri ndugu. Maana Naona Leo nilikuwa najiunga Bando la GB 1.5 limepandishwa Bei ghafla
 
Wakuu ambao mko around maeneo ya mikocheni, mni-pm niwape free password ya WiFi ya Regency Hotel. Unaenda unakaa pale chini unazuga na hata maji madogo kumbe unashusha mzigo wa maana ukitoka umetoka na faida. Au nafanya makosa watanzania wenzangu?
Lack of personal privancy is using of free WI-FI
 
Back
Top Bottom