Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
- Thread starter
-
- #461
Sio nchi nzima ila naona mikoa mingi now wameanza kueka 4g yao, mimi pia nipo nje ya dar tumeekewa 4g.TTCL wanatoa huduma ya 4G nchi nzima mkuu?
Ndiyo mkuu nina kifaa chenye 4G.........Voda ,Halotel na Airtel pia wana 4G?Sio nchi nzima ila naona mikoa mingi now wameanza kueka 4g yao, mimi pia nipo nje ya dar tumeekewa 4g.
Una kifaa cha 4g? Kiweke kiwe 4g only then search network uone kama utapata, ni vyema pia kiwe na band 1800
Voda anayo 4G,Ndiyo mkuu nina kifaa chenye 4G.........Voda ,Halotel na Airtel pia wana 4G?
Akikujibu naomba nitagUnapiga namba gani kupata hilo bundle mkuu?
line yako itakua corporate au ina post paid servicekwangu siipati mkuu, napata tu 800mb kwa sh 1000
Mkuu Tunaozitumia hizi Line zote si ndo prepaid?line yako itakua corporate au ina post paid service
Mkuu nataka ninunue line ya TTCL,kwa jinsi ulivyotest 4G yao ipo vizuri?ina speed nzuri?Voda anayo 4G,
Halotel na airtel hawana
Search network na hiko kifaa utaona mitandao gani ina 4g sehemu yako
speed ni nzuri kwangu ila haimaanishi sababu kwangu ni nzuri na kwako pia itakuwa ni nzuri, mitandao ya simu inatofautiana maeneo na maeneo, ni vyema na wewe ukapima eneo lako hio speedMkuu nataka ninunue line ya TTCL,kwa jinsi ulivyotest 4G yao ipo vizuri?ina speed nzuri?
Kujiunga na kifurushi cha chuo ni lazima TTCL wakusajili kwanza au unajiunga tu kama vifurushi vya kawaida?speed ni nzuri kwangu ila haimaanishi sababu kwangu ni nzuri na kwako pia itakuwa ni nzuri, mitandao ya simu inatofautiana maeneo na maeneo, ni vyema na wewe ukapima eneo lako hio speed
mpaka wakusajili na kitambulisho cha chuoKujiunga na kifurushi cha chuo ni lazima TTCL wakusajili kwanza au unajiunga tu kama vifurushi vya kawaida?
Loooooh!!![emoji32][emoji32][emoji32]mpaka wakusajili na kitambulisho cha chuo
tigo, halotel na airtel ndio rahisi kupata line za chuo.Loooooh!!![emoji32][emoji32][emoji32]
Halotel line za chuo ni ghali sanatigo, halotel na airtel ndio rahisi kupata line za chuo.
ila vifurushi vya TTCL sio vibaya sana mkuu,
Bando la Kijanja | TTCL
kwa 1000 unapata mb800 na dakika 10 mitandao yote pamoja na dakia 200 za TTCL. hichi ni cha siku
wanapitisha huku kwetu 2,000 au 3,000.Halotel line za chuo ni ghali sana
Nazitafuta bila mafanikio mkuu nipe ramaniwanapitisha huku kwetu 2,000 au 3,000.
mkuu wanapita tu hao jamaa hivyo sifahamu unawapatajeNazitafuta bila mafanikio mkuu nipe ramani
chef eeeeh... unaweza nifanyia msaada vocha zle za night bundle airtel mkoan kwangu hazpooo 600 kwa gb10 3dayskuna mtu hapa anaunga cha buku mb 800 kila siku, hakijawahi kubadilika hata siku 1