Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

TTCL wanatoa huduma ya 4G nchi nzima mkuu?
Sio nchi nzima ila naona mikoa mingi now wameanza kueka 4g yao, mimi pia nipo nje ya dar tumeekewa 4g.

Una kifaa cha 4g? Kiweke kiwe 4g only then search network uone kama utapata, ni vyema pia kiwe na band 1800
 
Ndiyo mkuu nina kifaa chenye 4G.........Voda ,Halotel na Airtel pia wana 4G?
 
Mkuu nataka ninunue line ya TTCL,kwa jinsi ulivyotest 4G yao ipo vizuri?ina speed nzuri?
speed ni nzuri kwangu ila haimaanishi sababu kwangu ni nzuri na kwako pia itakuwa ni nzuri, mitandao ya simu inatofautiana maeneo na maeneo, ni vyema na wewe ukapima eneo lako hio speed
 
Kujiunga na kifurushi cha chuo ni lazima TTCL wakusajili kwanza au unajiunga tu kama vifurushi vya kawaida?
 
Back
Top Bottom