Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Uliweka vocha ya kukwangua au kupitia Tigopesa?!
 
ya kukwangua
Aliyeniunga alinambia kwamba Kwass wamebadili utaratibu inatakiwa uweke vocha ya kukwangua ya buku2 iliyoshikana (sio za Buku buku mbili au jerojero) ndo unapata vifurushi.

Me mwnyw last month sikupata nimeshaweka hiyo vocha ndo nasubiri tarehe ikifika nione km kitaingia au miyeyusho tu
 
Hii ni kwel?? Man utanifabya kesh nikanunue chip ya ttcl[emoji125][emoji125][emoji125]
 
Mimi niliambiwa niwe naweka vocha ya 1000/=+1000/= total 2000 /= katka tarehe uliyo unganishwa au around I tarehe hiyo ya kuunganishwa na mpaka Sasa fresh inapiga kazi
 
Mimi niliambiwa niwe naweka vocha ya 1000/=+1000/= total 2000 /= katka tarehe uliyo unganishwa au around I tarehe hiyo ya kuunganishwa na mpaka Sasa fresh inapiga kazi
T24 shukrani kwa mrejesho nasubiria tarehe ya kuja kifurushi nami niweke sasa wewe umenichanganya inatakiwa vocha za 1,000 mbili ndiyo ziwekwe au ni vocha moja ya 2,000 maana ndivyo Singasinga na Pietro walivyoshauri
 
T24 shukrani kwa mrejesho nasubiria tarehe ya kuja kifurushi nami niweke sasa wewe umenichanganya inatakiwa vocha za 1,000 mbili ndiyo ziwekwe au ni vocha moja ya 2,000 maana ndivyo Singasinga na Pietro walivyoshauri
Mimi niliweka hizo vocha lakini ikagoma, niliwapigia tigo wakanaambia nitume neno bure kwenda 15166 ili nipatiwe hizo MB.
Wakanambia hiyo line nihamikishe ni line namba moja kwenye simu niliyonunua tigo shop.
Nilibaki na majonzi sanaa maana nlikuwa napata GB 12 kila mwezi.
 
sasa wewe umeongea jambo zuri sana na ambalo linamaliza utata na limenifungua macho ipo hivii na mimi nilikuwa na line tatu moja ya kitambo sana nikaongeza line mbili ambazo zote ilikuwa kwa ajili ya hivi vifurushi vya magumashi kuanzia mwezi wa tano tigo wakawa wananisumbua sana kwa kunipigia simu pamoja na kunitumia mimeseji wakitaka niamue main line ni ipi nikaweka main line ile ya kitambo baada tu ya kufanya hivyo zile line 2 zenye vifurushi vya tigo, vifurushi vya internet vikagoma kuwa vinakuja kama kawaida kwa kifupi biashara ya internet kitonga ikaishia hapo ambapo case hii inafanana na ya kwako. Kwa case yako na yangu nahitimisha kuwa kwa hiyo kama una line zaidi ya moja kwa tigo na kama una hivi vifurushi moja kwa moja kwenye line mojawapo au zote wanahitimisha kuwa umeungwa kimagumashi so wanablock vifurushi vyao wakipenda kujiridhisha zaidi watacheki je umenunua hizo simu zao waone ndiyo sababu ya wewe kuwa na vifurushi vyao, sasa kama wakiona kwenye kumbukumbu zao hakuna simu yao uliyonunua moja kwa moja wanahitimisha kuwa uliunganishwa kimagumashi kwenye vifurushi na wanajua hata ukiwapeleka TCRA utashindwa tu maana huna hata kipande cha karatasi sio hard copy wala soft copy kuwa unastahili hivi vifurushi. Kwa kifupi bure aghali
 
Hizi zinakuwa Kila siku 14 unapata au unatumia Kwa siku 14 Kisha unasubir tena next month?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…