Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Hapana hio ni ya waya, huwezi tembea nayo.

Ambayo unatembea nayo ni zile za kupimiwa kama vifurushi vilivyotumwa juu, unapewa Idadi maalum ya GB.
Ohhh sawa. Ahsante.
Samia aingilie kati. Siyo kwa kutafunwa huku kwa MB aiseee. Yaani MB 1000 ni masaa 6 tu hata si download kitu. Ni kuperuzi na kusoma News. Au Vodacom, Tigo na Airtel wame boost leakage ya data (Consumption ya data imechakachuliwa/yaani ina onesha kweli umetumia MB zote 1000 ila mzunguko wa kutumika wa data kume ongezewa mwendo usio wa kawaida).

Simu yangu haina option ya data Save. Nime tafta haipo.
 
Wale wa vifurushi vya Tigo vile vya mwaka vipi mwezi huu mmepata GB?!
Ni bila bila uku...Tigo washakuwa wahuni.....wanatuma jumbe zao za kuwa gharama za kupata hiyo huduma imepandishwa kutoka 1000 mpka 2000...huwa naweka salio kwa mwez siyo chini ya 10000...
 
Eka firewall kujua ni kitu gani kinakula hizo mb
 
Chief ninapofanyia kazi kuna WiFi sema kuna password vipi unanisaidiaje nipate password yake kiurahisi .
Ngumu kuipata mwenyewe,

Kuna app zinashare pass za wifi playstore jaribu labda kuna kiumbe ali upload
 
Ni bila bila uku...Tigo washakuwa wahuni.....wanatuma jumbe zao za kuwa gharama za kupata hiyo huduma imepandishwa kutoka 1000 mpka 2000...huwa naweka salio kwa mwez siyo chini ya 10000...
Wadau wanasema inatakiwa vocha ya kukwangua ya buku2 iliyoshikana sio za kuunga unga za bukubuku au jerojero.
 
Ngumu kuipata mwenyewe,

Kuna app zinashare pass za wifi playstore jaribu labda kuna kiumbe ali upload
Kuna App nimeisahau jina nilikua naitumia zamani kuangalia password za WiFi lakini mara ya Mwisho kuidownload ikataka mpaka cm iwe rooted nikaachana nayo,zamani nilikua naitumia bila ya cm kua rooted na ilikua inafanya kazi vizuri unapata password bila kutumia nguvu
 
Bado unaunga mkuu
 
Du hapa kama sijaelewa hiyo speed ya 20mps ndio kubwa au ndog kabisa?? Tueleweshane hapo kweny mps
 
Du hapa kama sijaelewa hiyo speed ya 20mps ndio kubwa au ndog kabisa?? Tueleweshane hapo kweny mps
Kwa vifurushi vyao ndio ndogo ya kuanzia kwenye fiber. Ila ku compare na Tech nyengine kama Adsl, satelite na Mobile data za Kina Tigo. Na Voda ni kubwa kiasi ama size ya kati.

20mbps movie ya HD 1GB utadownload kwa dakika 7 hivi.
 
20mbps ni Sawa na 2.5 MB/s ambazo Kwa sekunde 60 (dk 1) utadownload data ujazo wa 150MB hivyo mfano Una file la 1gb (1000MB) ukigawa kwa 150MB utapata dk.6 hivyo Kwa file la 1gb utatumia dk 6 kumaliza.

Nadhani nimeeleweka
yaani hpa kw siku kushusha gb100-140 ni kitu simple tu, yaani kwa mwezi 3tb inajaa fresh kabisa
 
Kwa vifurushi vyao ndio ndogo ya kuanzia kwenye fiber. Ila ku compare na Tech nyengine kama Adsl, satelite na Mobile data za Kina Tigo. Na Voda ni kubwa kiasi ama size ya kati.

20mbps movie ya HD 1GB utadownload kwa dakika 7 hivi.
Du kumbe bora sasa hapo ni naweza tumia gb 500 kwa mwez[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Instabridge
 
Hii ttcl fibre kuna walitumia kweli? , me natumia zuku 69,000 naona wako vizuri ila coverage haipo maeneo mengi...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…