Africayetuswahilitv
Senior Member
- Sep 24, 2022
- 168
- 221
hata kwangu alifuta chat kumbe nilikuwa tayari nishaziifadhi..Ngoja nikusaidie mkuu na Wana jf hii post iwasaidie huyu jamaa ni TAPELI mkubwa mm nimefwamtilia in deep (kwa undani) na haungi vifurushi ngooo zaidi mtapigwa tu hela
Nlishawai kujaribu kumwambia aniunge kifurushi swaga yake kubwa KWANZA umtumie hela then akuunge nilituma kiasi kadhaa ( nikaingia cha kike) ni uongo ata ukituma hela KWANZA hatopatikana na kama mlichat chat anazifuta kupoteza ushahidi
Mwisho:Epukeni matapeli kama hawa tuwaripoti kupitia namba 15040
Sent from my TECNO BC2c using JamiiForums mobile app
😂😂 wanadhani watu wote mna watsup za kawaida.....Sema waache tu hela ya dhuluma,jasho la mtu haiendi bure malipo ni hapa hapa dunianhata kwangu alifuta chat kumbe nilikuwa tayari nishaziifadhi..
amini...[emoji23][emoji23] wanadhani watu wote mna watsup za kawaida.....Sema waache tu hela ya dhuluma,jasho la mtu haiendi bure malipo ni hapa hapa dunian
Sent from my TECNO BC2c using JamiiForums mobile app
Kumbe mshapigwa.Ngoja nikusaidie mkuu na Wana jf hii post iwasaidie huyu jamaa ni TAPELI mkubwa mm nimefwamtilia in deep (kwa undani) na haungi vifurushi ngooo zaidi mtapigwa tu hela
Nlishawai kujaribu kumwambia aniunge kifurushi swaga yake kubwa KWANZA umtumie hela then akuunge nilituma kiasi kadhaa ( nikaingia cha kike) ni uongo ata ukituma hela KWANZA hatopatikana na kama mlichat chat anazifuta kupoteza ushahidi
Mwisho:Epukeni matapeli kama hawa tuwaripoti kupitia namba 15040
Sent from my TECNO BC2c using JamiiForums mobile app
Hiyo k10 ndio BEI gani kibongo bongoYani zambia mpaka raha nikija stamanigi kuludi hata bongo kuhusu swala la vifurushi aise ni kitonga kweli.
K3.shilling 430 500 mb
K4.shilling 570 800 mb
K10.shilling 1430 2GB
full raha endeleeni kupambana na wakina na uye huko View attachment 2409619
Hiyo k10 ndio BEI gani kibongo bongo
mbele yake kaweka kwa sh 1430 kitu kama hicho..Hiyo k10 ndio BEI gani kibongo bongo
HatariiNaleta mrejesho..
Sijasema ni tapeli ila naona kuna dalili sio nzuri kwenye uchunguzi wangu.
Huyu ndugu yetu yuko na account uko insta inaitwa offer.bundle.tz
Kwenye hii account kuna post yake ya juzi,
Ikionesha kuna good reviews zaidi ya kumi na zote ni nzuri,wanampongeza.
Ila ikiingia kwenye account za hao wateja wake,
Unakuta followers 0, mwingine ana wa5,mwingine ana 20 na huyo ndio mwenye wengi..
Kwenye hio post hakuna hata mmoja anayeuliza taratibu za kuungwa,wote ni kushukuru na kusifia na kuomba kuongezwa.
Post yake ya mwisho,nimeona ni dada mmoja tu akiuliza kifurushi cha GB 90 ni bei gani? Na kaomba aunganishwe.
Huyu dada pekee ndie mwenye followers wengi.Huyu peke yake ndio mwenye account sahihi...
Hizo zingine zina walakini.
Mwenye masikio na asikie.
When a deal is too good............View attachment 2409028View attachment 2409029
Si ndiyo apo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ulimpata insta wapi wakati ni wewe mwenyewe unajifanya kuwa kuna mtu anaunga kumbe unacheza mchezo wewe mwenyewe [emoji706][emoji706][emoji706]
Alafu anakazia, eti akipata hela nyingi atajaribu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ulimpata insta wapi wakati ni wewe mwenyewe unajifanya kuwa kuna mtu anaunga kumbe unacheza mchezo wewe mwenyewe [emoji706][emoji706][emoji706]
Kuna wizi mkubwa unafanyika kwenye mitandao ya simu tangu jamaa achukue ofisi, hafai kabisa kuwa kiongozi kwenye nchi hii, ana tamaa mnoo, ni dhahiri shairi.Yani zambia mpaka raha nikija stamanigi kuludi hata bongo kuhusu swala la vifurushi aise ni kitonga kweli.
K3.shilling 430 500 mb
K4.shilling 570 800 mb
K10.shilling 1430 2GB
full raha endeleeni kupambana na wakina na uye huko View attachment 2409619
Kifurush cha huyo mwamba Mimi nilitumia kwa miezi saba nlikua napata unlimited calls mitandao yote plus GB 7 kila mwezi kwa gharama ya 20kPrepaid.
Noo sisahau machungu aliyonipa huyu mwamba @mr kiuno
Kapiga pesa afu kifurushi hakijamaliza hata mwezi na pesa kagoma kurudisha.
Ulikuwa na bahati mbaya, yaani umeungwa muda mchache tuu then mambo yakabadilika, tuliounga mwanzoni tulifaidi.Prepaid.
Noo sisahau machungu aliyonipa huyu mwamba @mr kiuno
Kapiga pesa afu kifurushi hakijamaliza hata mwezi na pesa kagoma kurudisha.
Usijichanganye mkuuKuna huyu yupo insta, wakuu kuna ukweli hapa? Au watu wajitolee alafu walete mrejesho anasema yupo zenji.View attachment 2416090