Naleta mrejesho..
Sijasema ni tapeli ila naona kuna dalili sio nzuri kwenye uchunguzi wangu.
Huyu ndugu yetu yuko na account uko insta inaitwa offer.bundle.tz
Kwenye hii account kuna post yake ya juzi,
Ikionesha kuna good reviews zaidi ya kumi na zote ni nzuri,wanampongeza.
Ila ikiingia kwenye account za hao wateja wake,
Unakuta followers 0, mwingine ana wa5,mwingine ana 20 na huyo ndio mwenye wengi..
Kwenye hio post hakuna hata mmoja anayeuliza taratibu za kuungwa,wote ni kushukuru na kusifia na kuomba kuongezwa.
Post yake ya mwisho,nimeona ni dada mmoja tu akiuliza kifurushi cha GB 90 ni bei gani? Na kaomba aunganishwe.
Huyu dada pekee ndie mwenye followers wengi.Huyu peke yake ndio mwenye account sahihi...
Hizo zingine zina walakini.
Mwenye masikio na asikie.
When a deal is too good............
View attachment 2409028View attachment 2409029