Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Ngoja nikusaidie mkuu na Wana jf hii post iwasaidie huyu jamaa ni TAPELI mkubwa mm nimefwamtilia in deep (kwa undani) na haungi vifurushi ngooo zaidi mtapigwa tu hela

Nlishawai kujaribu kumwambia aniunge kifurushi swaga yake kubwa KWANZA umtumie hela then akuunge nilituma kiasi kadhaa ( nikaingia cha kike) ni uongo ata ukituma hela KWANZA hatopatikana na kama mlichat chat anazifuta kupoteza ushahidi

Mwisho:Epukeni matapeli kama hawa tuwaripoti kupitia namba 15040

Sent from my TECNO BC2c using JamiiForums mobile app
hata kwangu alifuta chat kumbe nilikuwa tayari nishaziifadhi..
 
Ngoja nikusaidie mkuu na Wana jf hii post iwasaidie huyu jamaa ni TAPELI mkubwa mm nimefwamtilia in deep (kwa undani) na haungi vifurushi ngooo zaidi mtapigwa tu hela

Nlishawai kujaribu kumwambia aniunge kifurushi swaga yake kubwa KWANZA umtumie hela then akuunge nilituma kiasi kadhaa ( nikaingia cha kike) ni uongo ata ukituma hela KWANZA hatopatikana na kama mlichat chat anazifuta kupoteza ushahidi

Mwisho:Epukeni matapeli kama hawa tuwaripoti kupitia namba 15040

Sent from my TECNO BC2c using JamiiForums mobile app
Kumbe mshapigwa.
 
Yani zambia mpaka raha nikija stamanigi kuludi hata bongo kuhusu swala la vifurushi aise ni kitonga kweli.

K3.shilling 430 500 mb

K4.shilling 570 800 mb

K10.shilling 1430 2GB

full raha endeleeni kupambana na wakina na uye huko
Screenshot_20221107-210832.jpg
 
Naleta mrejesho..

Sijasema ni tapeli ila naona kuna dalili sio nzuri kwenye uchunguzi wangu.

Huyu ndugu yetu yuko na account uko insta inaitwa offer.bundle.tz

Kwenye hii account kuna post yake ya juzi,
Ikionesha kuna good reviews zaidi ya kumi na zote ni nzuri,wanampongeza.

Ila ikiingia kwenye account za hao wateja wake,
Unakuta followers 0, mwingine ana wa5,mwingine ana 20 na huyo ndio mwenye wengi..

Kwenye hio post hakuna hata mmoja anayeuliza taratibu za kuungwa,wote ni kushukuru na kusifia na kuomba kuongezwa.

Post yake ya mwisho,nimeona ni dada mmoja tu akiuliza kifurushi cha GB 90 ni bei gani? Na kaomba aunganishwe.
Huyu dada pekee ndie mwenye followers wengi.Huyu peke yake ndio mwenye account sahihi...

Hizo zingine zina walakini.

Mwenye masikio na asikie.

When a deal is too good............View attachment 2409028View attachment 2409029
Hatarii
 
Yani zambia mpaka raha nikija stamanigi kuludi hata bongo kuhusu swala la vifurushi aise ni kitonga kweli.

K3.shilling 430 500 mb

K4.shilling 570 800 mb

K10.shilling 1430 2GB

full raha endeleeni kupambana na wakina na uye huko View attachment 2409619
Kuna wizi mkubwa unafanyika kwenye mitandao ya simu tangu jamaa achukue ofisi, hafai kabisa kuwa kiongozi kwenye nchi hii, ana tamaa mnoo, ni dhahiri shairi.
 
Prepaid.

Noo sisahau machungu aliyonipa huyu mwamba @mr kiuno

Kapiga pesa afu kifurushi hakijamaliza hata mwezi na pesa kagoma kurudisha.
Kifurush cha huyo mwamba Mimi nilitumia kwa miezi saba nlikua napata unlimited calls mitandao yote plus GB 7 kila mwezi kwa gharama ya 20k
 
Back
Top Bottom