Mwaga mchele chiefLeo Halotel internet tuna enjoy tu
Siku hizi watu wapo kwenye kamati ya roho mbayaMwaga mchele chief
Ilikuwa jana tu internet ilikuwa freeMwaga mchele chief
Sema basi kiongoziSiku hizi watu wapo kwenye kamati ya roho mbaya
Utajibiwa
"Natumia internet bure ila situmii bando wala VPN"
Connection plsTsh ngapi
Umefanyaje?Leo Halotel internet tuna enjoy tu
Taja beiUsipate unyonge njoo nikupe connection hiyo line usiitupe
Ilikuwa siku tuUmefanyaje?
We jamaa mbona kama unatuenjoy tu[emoji848][emoji848]Ilikuwa siku tu
your freedom niliwahi tumia mda kidogoHebu nitajieni VPN au application yoyote ile ambayo unalipia kiasi cha pesa kwa mwezi halafu unapata free internet mwezi mzima.
Anayejua pls, anisaidie
Ilikuwa siku hiyo tuWe jamaa mbona kama unatuenjoy tu[emoji848][emoji848]
Kwa Kigamboni kuna jamaa wanaitwa Elmax Networks (instagram wanatumia @elmaxnetworks ). Wana unlimited internet (unanunua speed). Speeds zao ni kuanzia 6Mbps ambayo ni around US $45 (106,000/= hivi) kila mwezi. Speed ni dedicated, sio shared kama ilivyo kwa "unlimited" za mitandao yetu ya simu. Wanakuwekea antenna juu, then router ndani. Iko vizuri, mi naitumia Kigamboni hii hii. Maana huku Zuku na wengine hawajafika bado (ukitoa maeneo ya darajani kule) na TTCL Fibre wanaringa mno.Wakuu kwaiyo mnataka kunambia kwamba hakuna njia ya mimi kupata fiber au louter ambay ntalipia 100k kwa mwezi huku kigamboni maana nashida sanaa asee
Wapo kweli???Natafuta mtu wa halotel atakae niuzia vocha za 500000/= kwa 200000/=
ttcl now wamesogea mpka kisota hapa nimeshajaza form nawasubir waje kunifungiaKwa Kigamboni kuna jamaa wanaitwa Elmax Networks (instagram wanatumia @elmaxnetworks ). Wana unlimited internet (unanunua speed). Speeds zao ni kuanzia 6Mbps ambayo ni around US $45 (106,000/= hivi) kila mwezi. Speed ni dedicated, sio shared kama ilivyo kwa "unlimited" za mitandao yetu ya simu. Wanakuwekea antenna juu, then router ndani. Iko vizuri, mi naitumia Kigamboni hii hii. Maana huku Zuku na wengine hawajafika bado (ukitoa maeneo ya darajani kule) na TTCL Fibre wanaringa mno.
Mzee TTCL watu tuna zaidi ya 5 months tangu tujaze form na hawajaja hata kusurvey. Hao jamaa nilishagive up kabisa. Plus customer support mtihani kweli!ttcl now wamesogea mpka kisota hapa nimeshajaza form nawasubir waje kunifungia
duuuuh wanazingua sanaa basiMzee TTCL watu tuna zaidi ya 5 months tangu tujaze form na hawajaja hata kusurvey. Hao jamaa nikishagive up kabisa. Plus customer support mtihani kweli!
Sana mzee!duuuuh wanazingua sanaa basi
Mzee TTCL watu tuna zaidi ya 5 months tangu tujaze form na hawajaja hata kusurvey. Hao jamaa nilishagive up kabisa. Plus customer support mtihani kweli!