The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 41,015
- 93,277
Nipe ofa zake naweza nikakuchekUsipate unyonge njoo nikupe connection hiyo line usiitupe
Kivipi mkuu.Leo Halotel internet tuna enjoy tu
Hapa atalia mtu mda c mrefu.Hii ni ya kweli na kupitia mtu anayeunganisha.. nmeunganishia watu watano na wanaenjoy kwa sasa..
SafiHakika mkuu.
Uzuri Mimi naweza kumuunga kwanza, Kisha Ndio Anilipe.
Sasa hapo anatapeliwaje? Labda yeye ndip Anitapeli!
Sio kwel mzee.. ukijua utajiuliza kwa nn ulichelewa... watu wanaseleleka na hiyo pamoja na ttcl ila ttcl ni unlimited kwa mwezi mmojaHapa atalia mtu mda c mrefu.
So huduma hii ni kwa Airtel peke yake Voda na Tigo??Sio kwel mzee.. ukijua utajiuliza kwa nn ulichelewa... watu wanaseleleka na hiyo pamoja na ttcl ila ttcl ni unlimited kwa mwezi mmoja
Hakika mkuu.
Uzuri Mimi naweza kumuunga kwanza, Kisha Ndio Anilipe.
Sasa hapo anatapeliwaje? Labda yeye ndip Anitapeli!
Ndio Mkuu.So huduma hii ni kwa Airtel peke yake Voda na Tigo.
Mimi mwenye lipa No nikitoa Zaidi ya laki 5 nakatwa kiasi gani?Je, Wajua!!!
Ukiwa na Lipa Namba ya Airtel;
1.Unatoa kiasi chochote buuure kwa wakala mara moja ndani ya masaa 24. Hata laki tano, unatoa kama ilivyo hukatwi hata sentano?
NOTE; Muamala mmoja tu kila siku, yaani ukitoa leo ni mpaka 24 yapite, ikitokea unataka kutoa zaidi ya mara moja ndani ya masaa 24 kuna makato madogo sana sana sana.
2.Ukitaka mtu akutumie pesa Makato ni madogo ukilinganisha na utaratibu wa kawaida!
Vigezo:
1. Namba yako ya simu ya Airtel.
2. 5000/= ya kutengenezewa Lipa Namba
NOTE: MALIPO BAADA YA KAZI
Whatsapp/Piga: 0710535327
Mfano wa ada za kutuma kupitia Lipa namba👇🏿👇🏿
Sawali zuri.Mimi mwenye lipa No nikitoa Zaidi ya laki 5 nakatwa kiasi gani?
Chief naomba msaada kidogo ingawa ni nje ya mada.Mimi mwenye lipa No nikitoa Zaidi ya laki 5 nakatwa kiasi gani?
Chief naomba msaada kidogo ingawa ni nje ya mada.
Hivi hapa napigwa au[emoji28][emoji28]View attachment 2512437 Nimepata mashaka nikamblock af nimemripoti tayari. Hivi umeshawahi kupata experience na hii kitu? Naomba ufafanuzi

Dah mkuu hio code ilikuja kwa sms na ukamtumia? Tafuta hio sms origin yake ukajitoe otherwise huwezi jua anatumia no yako kufanyia nini. Unaweza hadi pewa kesi ya ugaidi.Chief naomba msaada kidogo ingawa ni nje ya mada.
Hivi hapa napigwa au[emoji28][emoji28]View attachment 2512437 Nimepata mashaka nikamblock af nimemripoti tayari. Hivi umeshawahi kupata experience na hii kitu? Naomba ufafanuzi