Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Pia nahitaji WIFI portable ya mtandao wowote, mwenye connection pia tuwasiliane
 
Wazee wa kitonga pakua apps ya "my halo" ipo play store utapata mbs 1024 bure

Sio halopesa ni my halo.

Source: halotel Tanzania facebook
Hii kitu watu wamepigia hela mjini, unaungwa kwa buku wengine jero.
 
GB15 KILA MWEZI KWA MIEZI 24 BEI 15000 TU!
GB35 KILA MWEZI KWA MIEZ 24 BEI 35000 TU!
GB48 KILA MWEZI KWA MIEZ 24 BEI 40000 TU
GB75 KILA MWEZI KWA MIEZI 24 BEI 60000 TU.

HUDUMA NI YA UHAKIKA HAKUNA UTAPELI HUNITUMII HELA HATA MIA NAKUELEKEZA TU UNAJIUNGA MWENYEWE MOJA KWA MOJA! (nikishakupa maelekezo unaweza kupiga no 100 ukaulizia ili kujirizisha Zaid)

kama unahitaji niambie nikuelekeze zaidi au nipigie 0717700921
 
Mimi binafsi sijakuelewa maana inaonekana tuma kwa number hii
 
Mtandao gni? Au tgo
 
Wakuu kama kuna mtu tayari kapakua myhalo anirushie basi app, maana kwangu kila nikijaribu install inagoma, cha ajabu app zingine eti zinakubali sijui kuna changamoto gani hapa
utakuwa unatumia internet ya line nyingne ku download hyo app
 
Mkuu em fafanua hii kidg hii 15000 ni ada ya kuungwa au ndio malipo ya hizo gb? Na vip utakuwa unajiunga kila mwez amount hyo au hy 15000 ukishakatwa ndio ntolee mpaka miezi 24 ikatike?
 
Mkuu em fafanua hii kidg hii 15000 ni ada ya kuungwa au ndio malipo ya hizo gb? Na vip utakuwa unajiunga kila mwez amount hyo au hy 15000 ukishakatwa ndio ntolee mpaka miezi 24 ikatike?
Nimsaidie
1. Malipo ya gb
2. Utakuwa unalipia kila ukitaka kujiunga
 
🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…