Inaweza download movieinapiga kazi sana sema kuna wakati ina stark..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaweza download movieinapiga kazi sana sema kuna wakati ina stark..
sijawahi download movie labda ujaribu mkuu.. ila top ni mb 300Inaweza download movie
sasa tutajuaje ulipo mkuu...Pia nahitaji WIFI portable ya mtandao wowote, mwenye connection pia tuwasiliane
Mkuu nipo MOROGORO please naomba kujua kama ipo na Kwa bajeti ya kia's gañ?sasa tutajuaje ulipo mkuu...
Tupeane code tuteleze kitonga maana kuna siku itakuja kufugwaTwende pamojaView attachment 2663500
Hii kitu watu wamepigia hela mjini, unaungwa kwa buku wengine jero.Wazee wa kitonga pakua apps ya "my halo" ipo play store utapata mbs 1024 bure
Sio halopesa ni my halo.
Source: halotel Tanzania facebook
MMI NAUNGANISHA YA TIGO IKO VIZURI KULIKO HATA YA AIRTELHiv SME kwa sasa inapatikana!?
Mimi binafsi sijakuelewa maana inaonekana tuma kwa number hiiGB15 KILA MWEZI KWA MIEZI 24 BEI 15000 TU!
GB35 KILA MWEZI KWA MIEZ 24 BEI 35000 TU!
GB48 KILA MWEZI KWA MIEZ 24 BEI 40000 TU
GB75 KILA MWEZI KWA MIEZI 24 BEI 60000 TU.
HUDUMA NI YA UHAKIKA HAKUNA UTAPELI HUNITUMII HELA HATA MIA NAKUELEKEZA TU UNAJIUNGA MWENYEWE MOJA KWA MOJA! (nikishakupa maelekezo unaweza kupiga no 100 ukaulizia ili kujirizisha Zaid)
kama unahitaji niambie nikuelekeze zaidi au nipigie 0717700921
Mtandao gni? Au tgoGB15 KILA MWEZI KWA MIEZI 24 BEI 15000 TU!
GB35 KILA MWEZI KWA MIEZ 24 BEI 35000 TU!
GB48 KILA MWEZI KWA MIEZ 24 BEI 40000 TU
GB75 KILA MWEZI KWA MIEZI 24 BEI 60000 TU.
HUDUMA NI YA UHAKIKA HAKUNA UTAPELI HUNITUMII HELA HATA MIA NAKUELEKEZA TU UNAJIUNGA MWENYEWE MOJA KWA MOJA! (nikishakupa maelekezo unaweza kupiga no 100 ukaulizia ili kujirizisha Zaid)
kama unahitaji niambie nikuelekeze zaidi au nipigie 0717700921
utakuwa unatumia internet ya line nyingne ku download hyo appWakuu kama kuna mtu tayari kapakua myhalo anirushie basi app, maana kwangu kila nikijaribu install inagoma, cha ajabu app zingine eti zinakubali sijui kuna changamoto gani hapa
NimsaidieMkuu em fafanua hii kidg hii 15000 ni ada ya kuungwa au ndio malipo ya hizo gb? Na vip utakuwa unajiunga kila mwez amount hyo au hy 15000 ukishakatwa ndio ntolee mpaka miezi 24 ikatike?
Weka wazi kuwa ni Tigo PostPaid ! ambapo vigezo na masharti ya kujiunga huzingatiwa.HUDUMA NI YA UHAKIKA HAKUNA UTAPELI HUNITUMII HELA HATA MIA NAKUELEKEZA TU UNAJIUNGA MWENYEWE MOJA KWA MOJA! (nikishakupa maelekezo unaweza kupiga no 100 ukaulizia ili kujirizisha Zaid)
🤔GB15 KILA MWEZI KWA MIEZI 24 BEI 15000 TU!
GB35 KILA MWEZI KWA MIEZ 24 BEI 35000 TU!
GB48 KILA MWEZI KWA MIEZ 24 BEI 40000 TU
GB75 KILA MWEZI KWA MIEZI 24 BEI 60000 TU.
HUDUMA NI YA UHAKIKA HAKUNA UTAPELI HUNITUMII HELA HATA MIA NAKUELEKEZA TU UNAJIUNGA MWENYEWE MOJA KWA MOJA! (nikishakupa maelekezo unaweza kupiga no 100 ukaulizia ili kujirizisha Zaid)
kama unahitaji niambie nikuelekeze zaidi au nipigie 0717700921
Aisee ubarikiwe Sana Leo nimeokoa buku tatu yangu [emoji16][emoji106]Wazee wa kitonga pakua apps ya "my halo" ipo play store utapata mbs 1024 bure
Sio halopesa ni my halo.
Source: halotel Tanzania facebook