Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

𝙷𝚞𝚔𝚞 𝚠𝚊𝚕𝚒𝚜𝚑𝚊𝚗𝚒𝚕𝚒𝚣𝚊 𝚜𝚒𝚝𝚑𝚞𝚋𝚞𝚝𝚞
 
Naona Mawakala wana mwaga Gb za halotel zinazo expire leo usiku ,humu hammo mtu shushie au ndo roho mbaya ya kufa nama Gb yasio yenu [emoji28][emoji28]
Wapo hao na wapo wa tigo pia huo mchongo ni mchongo unawapa faida kinoma yani hata akikuuzia GB 2 kwa buku hana hasara, unaetaka nikupe maelekezo nicheki binafsi na ela ya maji😂 nikupe mchongo kabla haujaisha. Utapiga ela sana 0717700921
 
Wapo hao na wapo wa tigo pia huo mchongo ni mchongo unawapa faida kinoma yani hata akikuuzia GB 2 kwa buku hana hasara, unaetaka nikupe maelekezo nicheki binafsi na ela ya maji[emoji23] nikupe mchongo kabla haujaisha. Utapiga ela sana 0717700921
Na vipi bado unaunga tigo pre paid.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…