Debwadebwa
JF-Expert Member
- Sep 29, 2014
- 204
- 278
Airtel wameanzisha huduma ya unlimited kwa fiber ila ni kwa makampuni tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bei Gani kwa mweziAirtel wameanzisha huduma ya unlimited kwa fiber ila ni kwa makampuni tu
Hii ni airtel?Hizi hapa, hiyo 15k ni gharama ya kukuunganisha
TigoHii ni airtel?
𝙷𝚞𝚔𝚞 𝚠𝚊𝚕𝚒𝚜𝚑𝚊𝚗𝚒𝚕𝚒𝚣𝚊 𝚜𝚒𝚝𝚑𝚞𝚋𝚞𝚝𝚞GB15 KILA MWEZI KWA MIEZI 24 BEI 15000 TU!
GB35 KILA MWEZI KWA MIEZ 24 BEI 35000 TU!
GB48 KILA MWEZI KWA MIEZ 24 BEI 40000 TU
GB75 KILA MWEZI KWA MIEZI 24 BEI 60000 TU.
HUDUMA NI YA UHAKIKA HAKUNA UTAPELI HUNITUMII HELA HATA MIA NAKUELEKEZA TU UNAJIUNGA MWENYEWE MOJA KWA MOJA! (nikishakupa maelekezo unaweza kupiga no 100 ukaulizia ili kujirizisha Zaid)
kama unahitaji niambie nikuelekeze zaidi au nipigie 0717700921
Anhaa nikajua huyu, ili tuanze kuwatambua mapemaa kabla mambo hayajawa mambo.𝚂𝚒𝚢𝚘 𝚑𝚞𝚢𝚘 𝚖𝚔𝚞𝚞 𝚔𝚞𝚗𝚊 𝚖𝚓𝚒𝚗𝚐𝚊 𝚖𝚖𝚘𝚓𝚊
Wapo hao na wapo wa tigo pia huo mchongo ni mchongo unawapa faida kinoma yani hata akikuuzia GB 2 kwa buku hana hasara, unaetaka nikupe maelekezo nicheki binafsi na ela ya maji😂 nikupe mchongo kabla haujaisha. Utapiga ela sana 0717700921Naona Mawakala wana mwaga Gb za halotel zinazo expire leo usiku ,humu hammo mtu shushie au ndo roho mbaya ya kufa nama Gb yasio yenu [emoji28][emoji28]
YesHii ni airtel?
Na vipi bado unaunga tigo pre paid.Wapo hao na wapo wa tigo pia huo mchongo ni mchongo unawapa faida kinoma yani hata akikuuzia GB 2 kwa buku hana hasara, unaetaka nikupe maelekezo nicheki binafsi na ela ya maji[emoji23] nikupe mchongo kabla haujaisha. Utapiga ela sana 0717700921
NdioooNa vipi bado unaunga tigo pre paid.
Sawa, ngoja tusubiri shuhuda japo mmoja kwanza.Ndiooo
Mkuu halotel vp,mm daily ni kununua mabandoNdiooo
ukipata usisahau kunishtua na mimiMtaalam wa kutengeneza config files za ssh naomba msaada maana mwisho nafanikiwa na kuimport kabisa ila sipati access.