Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Airtel 5G home and office

Kwa matumizi ya nyumbani ( HOME USER) uwe na NIDA, TIN kama unayo sio lazima, 200,000 connection fee ni lazima
Utapata vifurushi kuanzia cha-:
70000= mbps 10
110000= MBPS 30
15OOOO=MBPS 50
200000=MBPS 100
KWA WAFANYABIASHARA (ENTERPRISES) uwe na NIDA, TIN, LESENI YA BIASHARA au KITAMBULISHO CHA BIASHARA.
Utapata vifurushi kuanzia
110000= 30mbps
150000= 50 mbps
200000= 100mbps
Kama ni mfanyabiashara, company HAUTALIPIA CONNECTION FEE. Asante karibu sanaa
 

Hv hizi speed zinakua ni dedicated? Au ni shared?
 
Hii nimei-copy tu kutoka kwenye chat yangu na afisa masoko wa Airtel ili ku share na wadau.

 
Hapa kaka naona voda supakasi inaenda kufa kibudu maana bei zao ni kausha damu
 
Nimetoka kuongea na dada mmoja hapa ofisin kwangu wa Airtel kanambia kifurushi Cha chin kwa 4g ni 110,000 kwa mwezi mbps 40 shida Sasa Mimi nafanya installation za games ps4 PC na ps5 Sina uhakika kwa hio speed ya 4g kama itatosha Mimi kufanyia kazi naweza fanya installation ya game gb 50 nahofia kama inaweza kula siku nzima na isimalize!
 
Kama unaipata kweli 40mbps masaa mawili tu

Ila kwa 4g uongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…