Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Hizi terminology sio wanatupanga hawa?
 
Nipe connection kaka, kwenye site yao inaonekana wanauza hizo router. Ya minimum price ni 615,000
Mcheck huyu jamaa 0742772122 atakupa utaratibu wote.Router wanakupa bure ukishalipia hela ya miezi miwili.
 
Hii mbona ghali sana.
 
Hii faida zake ni zipi?
Hii bandwith yake haishuki kulingana na traffic zilizopo. Mfano kwenye shared ukichukua 20MBPS hii inakua ni PEAK SPEED. Yani the maximum inayoweza kufika means itapanda na kushuka kulingana na traffic zilizopo au watu wanaotumia kwa muda huo. Na ndio maana kuna baadhi maeneo ya mijini zile off- office hours internet inakua na speed ukilinganisha na mchana.

Kwa dedicated speed inakupa sawa haishuki bandwith. Kama ni 5 basi ni 5.

Sent from my SM-G998B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…