Eric Banks
Senior Member
- Jun 4, 2015
- 174
- 245
Sinza mkuu,Mitaa ipi mkuu...
Maana sisi wa peripherals tuna njaa nao kwelikweliii
Unaposema wired ping ina maana gani???TTCL hangaika upate tu, ila Fiber yao ipo vizuri, kifupi fiber zote Tanzania zipo vyema sana, kama unaconect wired ping ni ndogo sana most of time 2ms hakuna internet ya wireless inafika hapo.
Iptv covers thatJua kali wifi ataangalizia wapi?
Ni balaa na nusu mzee. Voda wanatishaaiseeHili balaaa mzee
Hii package ile ya 200 Mbps. Nilikua nataka ya 120k ile ya 30Mpbs, kumbe na jirani yangu nae alikua na mpango huo, tukakubaliana tujoin forces tuchukue ya 250k ile ya 100Mpbs. But in the process jirani mwingine akapenda idea, akajoin so ili kila mtu apate speed nzuri tukakubaliana tushare cost ya hyo package ya 200Mbps. So kila mtu anachangia 130k kwa mwezi, me nnaekaa nayo router nachangia 140k, jumla inafika 400k.Hii 5G ya package gani mkuu? Maana hiyo speed yamoto
Kaka kwanini wakupe limited wakati ukienda kwenye cafe town ukalipia hiyo 35 unapata internet free unlimited paka unachoka mwenyewKwanini?
Yan GB 35 kwa 30K ni kausha damu?
Hizo hazimalizi week kwanguKwanini?
Yan GB 35 kwa 30K ni kausha damu?
Ni dada yetu mkuuKaka kwanini wakupe limited wakati ukienda kwenye cafe town ukalipia hiyo 35 unapata internet free unlimited paka unachoka mwenyew
Ndio nishaonaNi dada yetu mkuu
Edit mapema nifute hii comment
😃😃😃Me nikajua hautakuwa online 😅Ndio nishaona
Mmeamua kuniita Derick 🤣🤣
Kumbe ni demu avata yake imenichangayaNi dada yetu mkuu
Edit mapema nifute hii comment
Ndio nishaona
Mmeamua kuniita Derick 🤣🤣
BustedKumbe ni demu avata yake imenichangaya
Sijakupata vyema. Cafe town means internet cafe ama?kwanini wakupe limited wakati ukienda kwenye cafe town ukalipia hiyo 35 unapata internet free unlimited paka unachoka mwenyew
Wale wale tunafanana😅Sijakupata vyema. Cafe town means internet cafe ama?
Postpaid kwa matumizi yangu ya kuzagaa IG na JF zinanitosha. Ingawa hazijawahi kumaliza mwezi nazo
Wanaweza kuwepo ila wanapita kimya kimya. Nani hataki mambo mazuri?Huu uzi wadada kutembelea ni nadra sana😅
Dada za town namaanisha kama posta au karikoo wanakupa pasword unatumia paka uchoke postpaid mimi nilitumia ya sme airtel bando inakimbia kama maji 😁🤣🤣Sijakupata vyema. Cafe town means internet cafe ama?
Postpaid kwa matumizi yangu ya kuzagaa IG na JF zinanitosha. Ingawa hazijawahi kumaliza mwezi nazo
Ungekuwa mtaani kwangu ningekupa password utumie yangu🤣Wanaweza kuwepo ila wanapita kimya kimya. Nani hataki mambo mazuri?
Ungekuwa jirani yangu tungeishea hiyo unlimited ya voda ya 115k.
Nitafutie room ya kupanga karibu niamie😃Wanaweza kuwepo ila wanapita kimya kimya. Nani hataki mambo mazuri?
Ungekuwa jirani yangu tungeishea hiyo unlimited ya voda ya 115k.