Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Hivi mkuu around 50$ ni android box tv ipi nzuri kwa sasa?
Kama internet speed yako ndogo ama huna tv ya 4k Google Chromecast with Android ipo vizuri around $30-40 inasupport hadi Av1 encoding hivyo haili sana MB unapotumia Youtube ama Netflix etc.

Alternative ni Fire tv ya Amazon. Hizi kwenye sale hadi $15. Na mtumba hadi $10. Pia zipo Mi stick za Xiaomi bei hizo hizo.

Kwa zenye 4k kuna ONN za Walmart hizi za bei rahisi zaidi, kuna chromecast 4k (haina Av1 kama ya full HD) kuna fire tv Max ya 4k, pia ipo mi tv box S nayo pia ina 4k.

Kwa mtumba hio ya 4k kuna Fire tv Cube ikiwekwa kwenye sale ya mtumba inakuwa around $40, fire tv Cube ina nguvu unaweza tumia kama TV box ama ukacheza na games kabisa.
 
Chief-Mkwawa

Mkuu, hivi Tin kwenye usajili ya Vodacom 5G (120k per month ) lazima uwe na Tin number ya business, au hata ile ya kawaida wanakubali hao vodacom?
Zamani ilikua ya biashara specific, ila kuna kitu nimesajili juzi kati na voda ambacho kilitaka Tin ya biashara kwa Tin ya kawaida + Nida, Wakala aliniambia wamebadili, pia kuna wadau humu wanasema sasa hivi ni Tin tu na Nida, haijakua confirmed ila unaweza wajaribu.
 
Nimefuatilia zaidi,

Based on user reviews and item specifications, the best choice for a complete home entertainment system is the Google Chromecast with Google TV.

User reviews:
  • Google Chromecast with Google TV: 4.5 stars on Amazon, 4.4 stars on Best Buy, 4.5 stars on Walmart.com
  • Amazon Fire TV Stick 4K Max: 4.4 stars on Amazon, 4.3 stars on Best Buy, 4.3 stars on Walmart.com
  • ONN 4K HDR Streaming Device: 4.3 stars on Walmart.com
  • Amazon Fire TV Cube: 4.5 stars on Amazon, 4.4 stars on Best Buy, 4.3 stars on Walmart.com
Item specifications:

FeatureGoogle Chromecast with Google TVAmazon Fire TV Stick 4K MaxONN 4K HDR Streaming DeviceAmazon Fire TV Cube
Resolution4K Ultra HD4K Ultra HD4K Ultra HD4K Ultra HD
HDRDolby Vision, HDR10+, HLGDolby Vision, HDR10+, HLGHDR10, HLGDolby Vision, HDR10+, HLG
ProcessorQuad-core ARM Cortex-A55Quad-core ARM Cortex-A73Quad-core ARM Cortex-A55Hexa-core ARM Cortex-A53
RAM2GB2GB2GB2GB
Storage8GB8GB8GB16GB
Remote controlVoice remote with Google AssistantVoice remote with AlexaVoice remote with Google AssistantVoice remote with Alexa
Operating systemGoogle TVFire TVAndroid TVFire TV
Price$49.99$54.99$29.88$119.99
 
Mkuu mimi huwa napenda hii ya mi tv box S,lakini RAM yake ya 2GB siyo tatizo?Je,ina processor yenye nguvu?
 
Shukrani mkuu
 
Mkuu mimi huwa napenda hii ya mi tv box S,lakini RAM yake ya 2GB siyo tatizo?Je,ina processor yenye nguvu?
Processor zote hizo zinalingana Quadcore cortex A53 ama A55 ni. Processor dhaifu ambazo kazi yake ni kustream tu youtube, Netflix na wengineo na kwa hio kazi ram 2GB inatosha.

Kama unataka kufanya kazi nyengine tofauti na kustream kama kucheza games unahitaji core 8 na angalau core 2 kubwa kati ya hizo nane, maarufu Zipo Nvidia Shield na Hio Fire tv Cube, hio cube huwa mara kwa mara zinawekwa sale refurb Kwa dola $40 ila ukitaka mpya zote ni $100 kupanda.

Alternative kibishi bishi sisi wataalamu hutumia PC, tafuta kadesktop kadogo kwenye mtumba laki mpaka laki 2, weka ssd na ram za kutosha kisha weka Kodi, Kodi ina add-ons nyingi ukitaka Netflix, Movies kama Elementum, mpira, Games, Miziki na vinginevyo.

Uzuri wa Kodi inakua na skins mbalimbali ukitaka muonekano kama wa tv Za Samsung, LG, Netflix unaweka, pia kila skin ya Kodi ina namna yake kunavigate, sio lazima kutumia keyboard na mouse, waweza tumia Gamepad, Remote ya Bluetooth etc.

Mfano mi natumia hii Arctic Reloaded na Gamepad kunavigate.

Pia sio lazima desktop hata laptop bovu bovu limekufa keyboard na display linafaa kazi hii, Laptop hazili sana umeme.
 
Kodi naikubali sana
 
Mkuu mimi siyo mpenzi wa kucheza games bali napenda sana reality shows,documentaries,sci-fi,drama,sports na kadhalika ambazo nitakuwa nazipata zaidi kupitia adds-on na nitakuwa naangalia hizi TV channels kwenye TV screen.Yaani matumizi mengi ni IPTV zitakazotokana na adds-on
 
Basi chukua tu tv box mkuu, hio Mi box S ni decent kwa hio budget. Hapo unaweka tu stremio na kutegemea na speed ya internet yako tafuta iptv.
 
Huyu jamaa huko twitter anaweka matangazo ya kufunga ODU za Airtel, je ni kweli airtel wana hii huduma ama ni watu wanapigwa..



 
Shukrani Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…