Hizi za airtel zinakamata both 4G na 5G..... kama eneo halina 5G basi 4G inapiga kazi fresh.... siku 5G ikifika basi automatic inaenda huko...Kwa kuweka hiyo Power bank, Airtel kweli wamefanya jambo jema sana. Sasa ngojea nisubiri 5G ifike eneo langu niwaibukie nichukue hicho kifaa niachane na Supakasi ya 20mbps. Maana nimeogopa kuchukua 5G modem za Vodacom kwa kuwa umeme ukikatika ndiyo basi tena huwezi endelea na kazi.
Issue ni kwamba kifurushi ninachotaka ni cha 50 mbps na kwa mahali nilipo Airtel ni kama konokono, ndiyo maana ninabidi nivute subira hadi 5G.Hizi za airtel zinakamata both 4G na 5G..... kama eneo halina 5G basi 4G inapiga kazi fresh.... siku 5G ikifika basi automatic inaenda huko...
Asante mkuu,Yes wanatoa wenyewe full package, ikiwa na powerbank,ethernet wire, charger..
Output yake hii hapa...
View attachment 2769944
Mkuu output yake ina umuhimu gani?Asante mkuu,
Hebu tupe mchanganuo wake sasa, hizo outputs zina signify nini mkuu..Asante mkuu,
Kwa kuweka hiyo Power bank, Airtel kweli wamefanya jambo jema sana. Sasa ngojea nisubiri 5G ifike eneo langu niwaibukie nichukue hicho kifaa niachane na Supakasi ya 20mbps. Maana nimeogopa kuchukua 5G modem za Vodacom kwa kuwa umeme ukikatika ndiyo basi tena huwezi endelea na kazi.
Watu washindwe wao tuu.... 10Mbps kwa matumizi ya kawaida zinasukuma vizuri sana...Kwa anayetaka kupata Router ya Airtel 5G apige namba hizi
+255 683 046 596
+255 688 070 855
+255 685 503 314
Nilitaka tu kujua aina gani ya powerbank inaweza ku power hizo router, volt 7 na Amps 2 ina maana hata hizi fast charging za 18W za kina Xiaomi zinaweza. Kama unajiweza unaweza ukaongeza hio capacity hadi 30,000mah let's say unaenda field hakuna umeme.Hebu tupe mchanganuo wake sasa, hizo outputs zina signify nini mkuu..
Kama uko peke yako hushei na watu, 10Mbps ni way better.Watu washindwe wao tuu.... 10Mbps kwa matumizi ya kawaida zinasukuma vizuri sana...
Output voltage 12V=2ANilitaka tu kujua aina gani ya powerbank inaweza ku power hizo router, volt 7 na Amps 2 ina maana hata hizi fast charging za 18W za kina Xiaomi zinaweza. Kama unajiweza unaweza ukaongeza hio capacity hadi 30,000mah let's say unaenda field hakuna umeme.
Terms and conditions ulipitia mkuu?Voda wanazingua siku hizi.
Internet unapata mbov ukipiga simu ni marobot tu yanaongea hakuna option ya kuongea nao yaan hata siwaelewi.
Ipo siku ntaacha kulipia bila taarifa hadi account yangu waifungie. Kwa maana haiwezekani bili zao nilipie kwa wakati halafu mtandao unakaa sawa usiku mzito tu.
Huko mkuu kuna malipo ya awali sasaKuna nn huko mkuuu, tusanue tujue
Upo mkoa gani ?Huko mkuu kuna malipo ya awali sasa
Malipo ya awali kwa ajili ya unlimited ama kwa ajili ya nini...Huko mkuu kuna malipo ya awali sasa
Hio speed ulikua unapata nikutoka kwenye kifurushi Cha 70k?Malipo ya awali kwa ajili ya unlimited ama kwa ajili ya nini...
Hebu tupe na mchanganuo wao...
Kama uko peke yako hushei na watu, 10Mbps ni way better.
Download speed inafika hata mbps2?
5G ina piga fresh eneo lako?