Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Chagua moja kunyoa au kusuka...wazee hawa airtel ni moto wa mbaliiii.huku nilipo hakuna 5g kuna 4g tu lakini speed yake ya 30mbps kwa fiber ya 20mbps ...jibu ni kwamba huyu fiber akasomee mbaliii sasa mnaopata 5g sijui mnaenjoy vipi aiseee kama mimi tu wa 4g nafurahia maisha nyiee mtakuwa mmeyapatia [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2960]
 
Wadau hii Airtel home internet inaweza kugharimu total kiasi gani?
Pesa yako tu mkuu...money talk....kila kitu kinawezekana.[emoji16][emoji16] Router zake zinagombewa kama mpira wa kona zikifika tu kwishaaa...halafu inaonekana wafanyakazi wengi wa airtel hawaijui hii router...kuna kama watatu hivi niliwaulizaga hawajui
 
Kuna mwanaharakati mmoja anatangaza sana vifurushi, kwakua mtu yule anapiga spana sana CCM nkajua ana utu na yupo serious na vifurushi anavotangaza , nkaingia mkenge kilichofata kani block insta sipati access nae kwakua aliona naenda kuharibu utapeli wake.

...walio mfollow VERONICA FRANCE, someni machapisho yake lakini msiingie mkenge kwa matangazo ya vifurushi anavotangaza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…