Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Kwenye ishu gani?Kiukweli netflix mod haifiki hata kwa netflix og....haswa ya tv ipo smooth sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye ishu gani?Kiukweli netflix mod haifiki hata kwa netflix og....haswa ya tv ipo smooth sana
Ni kweli. Nakupa na File la ku-test kwanza. Ukiridhika unalipia then nakupa File kamili.
Android pekee.Hii nikwasimu zote? Namaanisha hata wa IOS wanaweza tumia hii huduma?
KiajeHao wanajifanya wapo strict sana
Nipo bagamoyo kaka[emoji3064][emoji3064][emoji3064]Kuna mdau alisema Sinza Wana fiber ya Voda kwa 55K,
Router 600k [emoji3][emoji3][emoji3] si bora muninyonge tuKwa biashara zipo router za maana unakuta inaconect watu hata 300 unalipia kifurushi 400mbps ama 1GBps ina make sense ukinunua hio router.
Ila nyumbani mwenzangu na Mimi unakomaa na 10mbps Yako kununua router ya laki 6 Uongo.
Hao wameshajinyonga wala usiwawaze..Router 600k [emoji3][emoji3][emoji3] si bora muninyonge tu
TTCL pasua kichwa angalia inaweza kuwepo zile copper.Nipo bagamoyo kaka[emoji3064][emoji3064][emoji3064]
Na nipo pembeni ya mji kinoma yan.
Muonekana hata themes zake mkuu.hebu chukuap kavideo ka hiyo mod na mimi nichukue ya og ya tv.haswa mimi ndiyo ninayozungumziaKwenye ishu gani?
Muonekano sioni kama ni ishu nilijua pengine utasema baadhi ya movies au series kwenye mod app hazipoMuonekana hata themes zake mkuu.hebu chukuap kavideo ka hiyo mod na mimi nichukue ya og ya tv.haswa mimi ndiyo ninayozungumzia
Samahani hivi kuna mod ya tv??Muonekano sioni kama ni ishu nilijua pengine utasema baadhi ya movies au series kwenye mod app hazipo
Mkuu nisaidie hiyo mod nami nienjoy pirated services za mabeberu [emoji238]Kiukweli netflix mod haifiki hata kwa netflix og....haswa ya tv ipo smooth sana
Pesa yako tu mkuu...money talk....kila kitu kinawezekana.[emoji16][emoji16] Router zake zinagombewa kama mpira wa kona zikifika tu kwishaaa...halafu inaonekana wafanyakazi wengi wa airtel hawaijui hii router...kuna kama watatu hivi niliwaulizaga hawajuiWadau hii Airtel home internet inaweza kugharimu total kiasi gani?
Kuna app inaitwa TV?Samahani hivi kuna mod ya tv??
Mkuu mwenyewe nimeomba apo juu kwa mdau nasubiri jibu lake hapa nimechoka kulipiaMkuu nisaidie hiyo mod nami nienjoy pirated services za mabeberu [emoji238]
Nilimaanisha ya netflix ya smart tv sio ya simuKuna app inaitwa TV?
Kuna mwanaharakati mmoja anatangaza sana vifurushi, kwakua mtu yule anapiga spana sana CCM nkajua ana utu na yupo serious na vifurushi anavotangaza , nkaingia mkenge kilichofata kani block insta sipati access nae kwakua aliona naenda kuharibu utapeli wake.Kutokana na Uhaba wa Vifurushi kwa sasq, vifurushi vizuri vinapatikana Tigo postpaid na Airtel Sme.
Airtel SME.
View attachment 2741119
Tigo postpaid
View attachment 2741120
Namna ya kupata official hivi vifurshi, tembelea wakala wa mtandao husika wa karibu ukiwa na Tin no, leseni na kitambulisho.
Kama huna details hapo juu wapo mawakala wanaunga bila Tin no, kwenye huu uzi wapo pia, ila kuwa makini na matapeli.
Update
Kwa wanaojiweza vipo pia vifurushi vya Unlimited vya 5G kwa sasa vinapatikana Airtel na Vodacom kwa urahisi.
Vodacom
-kasi internet inaanzia 50,000 kwa mwezi, unatumia around GB 20 speed inashuka ila inabaki unlimited. Sio kifurushi kibaya kama umekosa internet nyengine.
-Supakasi hii inaanzia 115,000 ni unlimited. Sema inahitaji tin no na leseni
Airtel
Wana unlimited kama Vodacom ila hii inaanzia 70,000 kwa mwezi na instalation fee ni 200,000 malipo ya mara moja, uzuri wa hii mtu yoyote anaungwa sio lazima uwe mfanyabiashara.