Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Kuna mtu alinipa code za kuapply hiko kitu kwenye list iyo lte ipo ishu ipo kuiactivate hili jambo linawezekana kabisa.
 
unatakiwa upate vocha ya chuo, zipo kibao mtaani, pia ipo namna ya kununua online, cheki na huyo agent wa udom.
Nimewahi kuona humu code za kubadilisha kutoka 3G to 4G! Nikumbushe mkuu
 
unatakiwa upate vocha ya chuo, zipo kibao mtaani, pia ipo namna ya kununua online, cheki na huyo agent wa udom.
Naona airtel wameupdate menu yao sasa hivi unaweza kupata vifurushi vya chuo bila ya kuwa na laini ya chuo kupitia
*149*81 kisha #4 UNI255 mpya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…