Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Nida yako tu.. Na either umfate wakala alipo au akufate.. hapo kwenye kukufata ndo unaweza kuchangia nauli.. ukishasajiliwa line ujiunge kifurush chochote hapo hapo... Ila kwa sasa line za kupiga na kupokea hawasajili tena... zipo za data only
Matumizi yangu ni ya data tu. Je, nikienda Halotel shop naweza kupata huduma hiyo?
 
Mimi nimenunua kifurushi cha eatel cha 110k tupo watumiaji 9 ila speed yake ni ndogo sana sasa sijajua ni kwa sababu ya mawingu au ni nini kinachangia speed kushuka namna hii.
 

Attachments

  • Screenshot_20240506-095932.png
    120.4 KB · Views: 30
Mimi nimenunua kifurushi cha eatel cha 110k tupo watumiaji 9 ila speed yake ni ndogo sana sasa sijajua ni kwa sababu ya mawingu au ni nini kinachangia speed kushuka namna hii.
Fanya research ndogo.. Waambie waloconnect wote wa disconnect kisha upime speed mwenyewe... nahisi mahali ulipo internet sio nzuri sanaa... Airtel ana maeneo yake.. sio kila sehemu anaspidi.. au badili location. kuna mwana anayo nikiwa natumia ipo slow hata kustream youtube haifiki 720p, nikiitoa kuiweka nje inapiga kazi fresh 1080p bila kuscratch..
 
Sawa mkuu,nitafanya hivyo.na je hali ya hewa inaweza kuwa chanzo cha kuwa slow pia?
 

Shukrani sana mkuu kwa ufafanuzi murua kabisa. Imeeleweka vyema.

Kwa unlimited data package naona Airtel router 5G inachukua ushindi. Itanibidi nichukue Airtel. Japo, bado sijajua endapo SIM card yake inakubali kutumika kwenye smartphone pia, ama la.

Airtel router 4G nayo ingenifaa, ila hii nayo bado sijajua endapo ina UNLIMITED data package, ama la.

Cc: Scars , bonjov

-Kaveli-
 
Wanavyodai ni kuwa unapewa 1 Tb
 
Unlimited yangu ya leo kasi yake ni ya konokono jamani hii ya 0.17mbps ni ya eatel 5G box na hiyo ya 23mbps nibya simu yangu zote zikiwa ni 4G.
Eneo nilipoweka router na niliposerch na simu ni the same.
Idadi ya watu waliokonect kwenye internet box ni mmoja tuu. Kifurushi ni cha 110k
 

Attachments

  • Screenshot_20240507-115605.png
    107 KB · Views: 27
  • Screenshot_20240507-115715.png
    107.7 KB · Views: 30
Mkuu, eneo lako linashika 5G?
 
Line za 5G unazopewa na Router hazi support internet kwenye simu.

Hata kama simu yako ni ya 5G

Kwa Router ya 4G haina unlimited ni package ya GB kadhaa tu baada ya hapo zikiisha basi itabidi ununue kifurushi kingine.
 
Kwa mara ya kwanza leo ndio na experience tatizo la mtandao kwenye Router ya Airtel.

Mpaka sasa imehitimu takribani nusu saa tangu tatizo lianze.

Lakini hadi Halotel naona kama nayo haipo stable leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…