Ya juu kali mkuu,Wale wenzangu na mimi tunaotumia Airtel 5G Router, naona Airtel wamekuja na Router mpya.
Za kwanza model yake ilikuwa ZLT X28.
View attachment 3004158
Za sasa model yake ni ZLT X25.
View attachment 3004159
Hii model mpya utofauti wake ni ndogo zaidi, hivyo iko more portable.
Zile za zamani ni nene kiaina, hivyo haziko portable kushinda hizi za sasa.
Kinachochanganya, ni kwenye uwezo kati ya hizo router, natamani kubadilisha nichukue hii mpya lakini naona kama zimezidiwa nguvu na zile za kwanza.
Wajuzi hebu tufahamishane, is it worth kuchukua hizi ZLT X25?
Au nikomae na li ZLT X28 langu?
View attachment 3004155
ZLT X28
View attachment 3004156
ZLT X25
Ya juu kali mkuu,
1. Unaona hio Mimo (multiple input, Multiple output) hio ni uwezo wa router kuconnect na minara zaidi, ya juu itaconect na minara 4 na chini minara 2, inasaidia stability ya network.
2. Speed za 4G na 5G ya juu ipo vizuri hasa hapo kwenye 4G, ya juu ni gigabit LTE ya chini ni pengine LTE Advance, Sijajua Airtel kama unatake hii advantage ila kwa Tigo ukiwa na gigabit LTE inasaidia.
3. Umeme ya juu haili sana 12x1.5 ni watts 18 ya chini 12x2 ni watts 24, kama zinatumika full time kwa mwezi kuna tofauti kama unit 4 za umeme.
4. Ya juu pia ina ram kubwa, sijajua router za Airtel zipoje, ila baadhi ya router zina hadi store unaweza weka apps ikasaidia TV ambayo sio smart, ama ni smart ina kosa vitu kama torrent ukaipa uwezo huo.
Ya chini naona ina Antena nyingi zaidi, assume antenna zote ni sawa basi itakua na advantage kusambaza wifi nyumbani.
Binafsi ningechukua ya juu.
Nicheki Dm tuwasilianeBro nimekuja uniunge hiyoo
Now umerejeaAirtel wamefakisha
Hakuna access ya internet kuanzia majira ya saa saba na nusu usiku muda huu.
Nivcekaribu kuungwa vifurushi vya airtel harama ni 10000 kupata menu hiiView attachment 2998948
Tupe muongozo mkuuMimi Halotel amekuwa mkombozi.wangu
Wametoa simcard za Data pekee
15k Gb18
30k Gb 36
50k Gb 64
Tunaomba majibu ya haya maswali kwa mwenye uelewa ili tuone kama tunaweza kuchagua kuchukua hii router ya halotel ya D-link.. Asanteni1. D-Link router naipataje? au inauzwa na hao hao HALOTEL?
2. Bei ya hiyo router TSH ngapi? ni universal inasoma line ya mtandao wowote? ni 4G ama 5G?
3. Hiyo UNLIMITED data package ya HALOTEL (TSH 50k per month), speed yake ipoje (Mbps)?
4. Hiyo Line ya HALOTEL unayosema ndiyo ile inaitwa M2M? ama ni tofauti?
-Kaveli-
Halotel wana router?Tunaomba majibu ya haya maswali kwa mwenye uelewa ili tuone kama tunaweza kuchagua kuchukua hii router ya halotel ya D-link.. Asanteni
Code yao ipoje?Ni line ya internet tu kwa halotel. Ufanyaji kazi ni kama line ya halotel tu ya kawaida ila hii hupigu wala kutuma sms ni interñet tu.
Line za Internet sio CUG?Wale wa Halotel CUG kula chuma hicho
*148*26# ni internet tu mwanzo mwisho
Mkuu hii inakuaje ? Fafanua kidogoWale wa AIRTEL kula chuma hicho
*149*91#