Kingsmann
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 4,805
- 17,850
Wale wenzangu na mimi tunaotumia Airtel 5G Router, naona Airtel wamekuja na Router mpya.
Za kwanza model yake ilikuwa ZLT X28.
Za sasa model yake ni ZLT X25.
Hii model mpya utofauti wake ni ndogo zaidi, hivyo iko more portable.
Zile za zamani ni nene kiaina, hivyo haziko portable kushinda hizi za sasa.
Kinachochanganya, ni kwenye uwezo kati ya hizo router, natamani kubadilisha nichukue hii mpya lakini naona kama zimezidiwa nguvu na zile za kwanza.
Wajuzi hebu tufahamishane, is it worth kuchukua hizi ZLT X25?
Au nikomae na li ZLT X28 langu?
ZLT X28
ZLT X25