James Hadley Chase
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 1,984
- 3,695
Mpaka uungwe, mawakala wengi wanaunga kwa bei ya 5kMkuu hii inakuaje ? Fafanua kidogo
CUG zipoje?Line za Internet sio CUG?
Mi pia nauliza mkuu, maana ninayo ya internet haikubali hio namba.CUG zipoje?
Niliongea na wakala yeye yupo Dar anasema anaumganisha kwa waliopo Dar I mean anataka aonane nae physical then anafanya usajili wa laini mpya, malipo ni 5k.Mi pia nauliza mkuu, maana ninayo ya internet haikubali hio namba.
Na pia CUG ni special kwa ajili ya biashara tu, so mpaka uende kwenye shop zao kwa msaada zaidiMi pia nauliza mkuu, maana ninayo ya internet haikubali hio namba.
Kama unaenda kununua Router universal brand most of time zinakua ghali 100k+ ila kama unanunua za mitandao ya simu ambazo tayari zipo unlocked zinakua bei rahisi most of time chini ya 70,000.Wajuzi, pia tupeni ABCs kuhusu UNIVERSAL ROUTERS.
Bei, upatikanaji, ubora, n.k
Kwa mtu asiyetaka kuwa mateka wa router ya mtandao mmoja tu.
-Kaveli-
Hapa nimekuelewa, so zile za internet zitakua sio CUG.Na pia CUG ni special kwa ajili ya biashara tu, so mpaka uende kwenye shop zao kwa msaada zaidi
Yeah, CUG ni zingine na zile za internet ni zingine.Hapa nimekuelewa, so zile za internet zitakua sio CUG.
Kama unaenda kununua Router universal brand most of time zinakua ghali 100k+ ila kama unanunua za mitandao ya simu ambazo tayari zipo unlocked zinakua bei rahisi most of time chini ya 70,000.
Ubora ni almost zinafanana, watengenezaji wa router ni wale wale we angalia tu specification
Router nzuri inatakiwa iwe na
1. Band 800, 1800 na 2600 kwa ajili ya 4G za Tanzania
2. Iwe na Mimo x2 ama Mimo x 4 kwa ajili ya Speed na network nzuri.
3. Iwe na LTE advance 300+ Mbps ili ujitenge na wenye LTE ya kawaida na upate speed nzuri.
Ndio, inaweza kuwa mtandao wa Tanzania ama mtandao wowote nje ya NchiRouter ya mtandao wa simu ambayo ipo 'unlocked' ... unamaanisha hiyo 'unlocked' inachukua SIM card ya mtandao wowote?
-Kaveli-
Ndio, inaweza kuwa mtandao wa Tanzania ama mtandao wowote nje ya Nchi
Njoo tu mkuuMheshimiwa Chief-Mkwawa naomba kuja inbox kwako, nina maongezi ya kina na wewe
Tunaijua hiyo.Download app ya Tigo pesa then jisajili una pata 1 gb free
kisha Nenda sehem ilioandikwa Invite& Earn Gusa pale then gusa neno "REDEEM" au KOMBOA afu kwenye Code jaza SVRA639Z Tayali apo utapata shiling 500 Kutoka tigopesa
Kumbuka kujaza hii code [emoji117] SVRA639Z
Na nufaika mimi na wewe wewe ukipata iyo jero na mimi napata iyo jero sasa shida iko wapi..wa Bongo kama wewe wenye karoho ka kukunja bhanaTunaijua hiyo.
Yaani tukiingiza hiyo code anayenufaika ni wewe
Huu mzigo ni hatari mkuuMimi Halotel amekuwa mkombozi.wangu
Wametoa simcard za Data pekee
15k Gb18
30k Gb 36
50k Gb 64
Ukiunga bando la kifahari kwa mwezi unapiga unlimited ya zaidi ya 179GB kwa mwezi speeed ile ile for only 50kHuu mzigo ni hatari mkuu
hii sme ya voda wazinguaji sana, tulounga mara ya kwanza tumekula loss, maana walikatisha ukitia menu hauoni zile package, walivorudisha nikadhani tutaungwa automatic hola, wapuuzi sana hawa na alafu wamepunguza ujazo wa package kuliko sme za laini zingine.Wale wa vodacom kitu kimesimama hapa
*149*73#