Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Mi pia nauliza mkuu, maana ninayo ya internet haikubali hio namba.
Niliongea na wakala yeye yupo Dar anasema anaumganisha kwa waliopo Dar I mean anataka aonane nae physical then anafanya usajili wa laini mpya, malipo ni 5k.
Badalanya usajili kukamilika tu, menyu ni ileile tu *148*66# ila vifurushi ndio vitaonyesha ni Data Only
 
Wajuzi, pia tupeni ABCs kuhusu UNIVERSAL ROUTERS.

Bei, upatikanaji, ubora, n.k

Kwa mtu asiyetaka kuwa mateka wa router ya mtandao mmoja tu.

-Kaveli-
Kama unaenda kununua Router universal brand most of time zinakua ghali 100k+ ila kama unanunua za mitandao ya simu ambazo tayari zipo unlocked zinakua bei rahisi most of time chini ya 70,000.

Ubora ni almost zinafanana, watengenezaji wa router ni wale wale we angalia tu specification

Router nzuri inatakiwa iwe na
1. Band 800, 1800 na 2600 kwa ajili ya 4G za Tanzania
2. Iwe na Mimo x2 ama Mimo x 4 kwa ajili ya Speed na network nzuri.
3. Iwe na LTE advance 300+ Mbps ili ujitenge na wenye LTE ya kawaida na upate speed nzuri.
 
Router ya mtandao wa simu ambayo ipo 'unlocked' ... unamaanisha hiyo 'unlocked' inachukua SIM card ya mtandao wowote?

-Kaveli-
 
Download app ya Tigo pesa then jisajili una pata 1 gb free
kisha Nenda sehem ilioandikwa Invite& Earn Gusa pale then gusa neno "REDEEM" au KOMBOA afu kwenye Code jaza SVRA639Z Tayali apo utapata shiling 500 Kutoka tigopesa

Kumbuka kujaza hii code [emoji117] SVRA639Z
Tunaijua hiyo.
Yaani tukiingiza hiyo code anayenufaika ni wewe
 
Wale wa vodacom kitu kimesimama hapa
*149*73#
hii sme ya voda wazinguaji sana, tulounga mara ya kwanza tumekula loss, maana walikatisha ukitia menu hauoni zile package, walivorudisha nikadhani tutaungwa automatic hola, wapuuzi sana hawa na alafu wamepunguza ujazo wa package kuliko sme za laini zingine.

kifupi voda sme yao ni ya kitapeli
 
Back
Top Bottom