Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Hawa na voda wana undugu mwanangu
 
Nimepita na router maeoneo zaidi ya matatu tofauti naona hali ni ile ile kwangu jioni mpaka usiku sped hamna
 
Hawa majamaa mliwapakulia sana minyama mi nilikuwa nawachora tu kiaskari.

Mpaka kuna muda nikawa najiuliza voda nao wajua mimi wamebadilika liini tabia yao.

Sasa saizi kila mtu analia mlio wake
[emoji23][emoji16][emoji16][emoji16] hawafai hawa vipi Airtel huko napo na haloteli Cc ephen_
 
Nakubaliana na wewe , ikifika saa moja jioni watumiaji wa Airtel router ile alama ya mtandao inakuwa imekata kabisa na speed uwa ndogo sana Mida ni kati ya saa 12 na dakika 30 jioni kuelekea hadi saa nne usiku mara nyingi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…