Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Nakiri kuwa yalikuwa ni maamuzi ya kimhemko kuwakimbia Airtel

Sikupaswa kulipiza ubaya kwa ubaya, sikupaswa kuwafanyia vile. Nilipaswa kuwapa nafasi ya pili

Ona sasa Halotel wanavyo nifanyia


Ulimwengu huu kweli ni wa kumpa 3G mteja?
 
Speed ipoje? Inategemea na eneo ila 3G ya Halotel inakimbiza sometime 10-20mbps
 
Hapa ndio Voda uwa wanachukulia point tatu kwenye mitandao mingine... Vodacom nina mwaka na zaidi ninatumia Internet yao, Ila ukishalipia ile 120k Matumizi yako utajikadilia mwenyewe..
 
Mwenye uzoefu na Hizi Extender ni ipi naweza kuitumia ikaisaidia Router yangu ya Vodacom iweze kusoma umbari wa zaidi ya Mita 300 au zaidi ya hapo... Sijawai kuitumia ndio nataka nianze kuitumia ili niwe nawauzia watu Internet ata waliopo mbali kidogo na eneo langu la kazi.
 
Mita 300 parefu sana hizo hazitoboi hasa kama kuna mitimiti.

Tafuta outdoor extender ama tumia waya kabisa kusafirisha eneo husika halafu ndio weka router ikifika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…