Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Mimi huu mchezo nilifanyiwa na tigo π πππππππππ Cc ephen_Nakiri kuwa yalikuwa ni maamuzi ya kimhemko kuwakimbia Airtel
Sikupaswa kulipiza ubaya kwa ubaya, sikupaswa kuwafanyia vile. Nilipaswa kuwapa nafasi ya pili
Ona sasa Halotel wanavyo nifanyia
View attachment 3061528
Ulimwengu huu kweli ni wa kumpa 3G mteja?
Toka nianze kuwatumia Airtel niko maeneo yenye 4G tu, nimtoe wasiwasi jamaa, kama eneo lake airtel inakamata vzr basi asiwe na wasiwasi..70K ni 10mbps kwa feedback za wadau humu kama upo eneo lina 4G pekee inaweza ikazingua nayo, sijaona malalamiko kwa walio maeneo yenye 5G.
Mkuu, vipi kuhusu hiyo Airtel hapo?
-Kaveli-
Ebu kwanza...
Nataka nijue kaiweka baada ya kui unlock au imesoma hivyo hivyo?
Nimeishia kuambiwa "SORRY, YOUR USSD MESSAGE IS NOT CORRECT, GOOD BYE!"πWale wa @ttcl piga *148*22#
Hebu jaribu kuitia ivoivo...Nataka nijue kaiweka baada ya kui unlock au imesoma hivyo hivyo?
Kwasababu kama ndio hivyo basi kesho naitia laini kwenye Router ya Airtel nione kama kutakuwa na mabadiliko.
Kitaa kuna mwana anasajili laini ya Halotel kwa 2000 unapata GB6Nimeishia kuambiwa "SORRY, YOUR USSD MESSAGE IS NOT CORRECT, GOOD BYE!"π
Kwenye line ya 5G inayokuja na Router kuwa inaweza kutumika kwenye simu hapo alikuongopea.Hebu jaribu kuitia ivoivo...
Mimi aloniuzia aliniambia unaweza kuweka line ya Airtel kwenye simu na ikapiga kazi, ila iligoma kwenye simu yangu...
Hapa umeongea ukweli kabisa, hawa mawakala mambo mengi hawajui, sisi user inawezekana tunajua mengi kuwashinda..Kwenye line ya 5G inayokuja na Router kuwa inaweza kutumika kwenye simu hapo alikuongopea.
Hata mimi nilifanya hilo jaribio lakini hakukuwa na matokeo yeyote.
Na saizi hata meseji tu zimepigwa pin haziingii, mwanzoni nilikuwa napata meseji lakini saizi hata nitume meseji kwenye ile laini haifiki.
Halafu kitu kingine hawa dealers wanao sambaza hizi Router sio kama wanajua sana kuhusu ufanyaji kazi wa Router na line zake.
Wengi wanachojua ni kusajili tu na ndio maana hata diagnosis ya mambo machache yanayohusu Router unakuta yanawashinda.
Kuna wengine kwenye matangazo yao wanaandika kuwa ina piga mpaka mita 200
I
Wale mambo mengi hawayajui na kama sio mtu wa kujiongeza utajikuta unafeli na kuichukia huduma yao maana hata kukupa ushirikiano wakati una face changamoto wanakuwa wazito.Hapa umeongea ukweli kabisa, hawa mawakala mambo mengi hawajui, sisi user inawezekana tunajua mengi kuwashinda..
BTW line yangu ya kwanza ilizinguaga, ilikufa kabisa, nikamuita wakala aloniuzia, akaja.
Njia alizokuwa anatumia niliona ananipotezea muda tuu maana mambo yote alikuwa anategemea kuelekezwa na aliyekuwa anamuita "Leader" wake. Fanya hivi, fanya vilee lkn wapii line iligoma, kimsingi chip ilikuwa imekufa kabisa
Wakaniambia nika-swap, nikawauliza niki-swap itaendelea kubaki vilevile? Kifurushi changu nitakikuta au itabidi nianze upya kwa kulipia kingine. Hakuna aliyekuwa na jibu.
Mwisho wa siku niliswap ile chip ila ilibaki vilevile na kifurushi hivyo nikaendelea nilipoishia..
Unlocked hiyo.Ebu kwanza...
Hiyo Router yako ni ya Airtel umei unlock itumie laini zote?
Au inakubali kusoma laini ya Halotel?
πππ πJirani yangu kapigwa hapa laki moja kwa mwezi, wanatumia fiber ya haloteli ila ni nyaya sio fiber cable, Chief-Mkwawa kwanini inakuwa starting point ni fibre ila waya unaoingia kwa jirani ni wa steel?
Plans β Nexusnet
View attachment 3062371
Kweli Mzee maana nime test huku mambo yamenigoneaUnlocked hiyo.
Jamaa sijui kaiunlock vipiπKweli Mzee maana nime test huku mambo yamenigoneaView attachment 3062692
Sema kuna kitu kingine nimekiona mbali na ku unlock hiyo Router kuna features ambazo zimekuwa hiddenJamaa sijui kaiunlock vipiπ