Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Wazee wa tech. Naombeni kuuliza kuhusu hizi pocket Wi-Fi zilizolockiwa na mtandao zisome mtandao mmoja tu.

1: Mfano nimepoteza pocket Wi-Fi ila laini iliyokuja na hiyo pocket Wi-Fi haikupotea. Nitaweza kutumia hii laini wakati pocket Wi-Fi yake imepotea?

2: Mfano nimepoteza laini iliyokuja na pocket Wi-Fi, ila pocket Wi-Fi yake sijapoteza. Kuna uwezekano wa kurenew laini?

3: Wanasema hizi laini zinazokuja na pocket Wi-Fi ni laini za M2M. Huwezi kununua hizi laini bila pocket Wi-Fi?.

4: Kama inawezekana kununua laini tupu za M2M bila pocket Wi-Fi. Vifurushi vya pocket Wi-Fi vitafanana na vya laini tupu ya M2M?

Scars, Chief-Mkwawa.
 
Pocket Wifi ya mtandao gani?

Pocket Wi-Fi za mitandao nyingi zinakuwa ni vifurushi maalumu

Na uzuri ni kwamba dili ni kuwa na ile laini tu kwasababu unaweza kuitumia hata kwenye universal Router yeyote.
 
Wakuu kwema ,
Nimefungiwa laini yangu ya tigo kwasababu ety watu wengine hawajalipia huduma hio , kwanini wasifungiwe wao tu.

Wakuu mliowahi kupitia kero hii naombeni njia ya kusovu hili
 
Wakuu kwema ,
Nimefungiwa laini yangu ya tigo kwasababu ety watu wengine hawajalipia huduma hio , kwanini wasifungiwe wao tu.

Wakuu mliowahi kupitia kero hii naombeni njia ya kusovu hili
 
🫡
 
-Pocket Wi-Fi ya mtandao wowote tu ule, tufanye ya Airtel.

-Ndiyo, nimelenga hivihivi vifurushi maalum vya pocket Wi-Fi.

-Laini tupu ya M2M bila pocket Wi-Fi nafikiri vifurushi vyake siyo vizuri sana kama laini ya M2M inayokuja na pocket Wi-Fi, lakini sijui, sina uhakika na hili. Labda mtu akuuzie laini ya M2M iliyokuja na pocket Wi-Fi ndiyo utafaidi. Changamoto itakuwa kuingiza router number wakati wa kununua kifurushi.
 
Okay nimekuelewa.

Ni kwamba hapo mchawi ni laini na hiyo situation ilimkuta jamaa yangu.

Cha msingi we sajili tu line nyingine ya M2M nadhani ni 10K halafu ukisajili hiyo line kailipie kifurushi.

Maana yake option ya kuweka namba ya Router utaweka hiyo namba yako uliyosajili.
 
Ahsante mkuu, hapo kwa sasa sina swali.
 
Wakuu kwema ,
Nimefungiwa laini yangu ya tigo kwasababu ety watu wengine hawajalipia huduma hio , kwanini wasifungiwe wao tu.

Wakuu mliowahi kupitia kero hii naombeni njia ya kusovu hili
Jana nmekutana na huu upumbavu ikabidi nilipe madeni yote 90k then nkawaomba huduma kwa wateja nkawatoa ote ambao walijiunga kupitia jina langu.
 
Hii huduma ikoje mkuu na ni mtandao gan?
 
Hii huduma ikoje mkuu na ni mtandao gan?
Kwa sasa mitandao ninayoijua mimi yenye pocket Wi-Fi zenye vifurushi maalum ni miwili tu, Airtel na Halotel.

Pocket Wi-Fi za Airtel na Halotel zinauzwa 50,000, zinauzwa pamoja na laini. Ukishanunua unapewa ofa ya 20GB utumie bure mwezi mzima. Mwezi ukishaisha utachagua ujiunge 10GB kwa mwezi kwa 10,000. Au 15GB kwa mwezi kwa 15,000. Au 20GB kwa mwezi kwa 20,000.
 
Bdo gb ndogo kwangu
 
Bdo gb ndogo kwangu
Mitandao ya simu waliliona hilo, ndiyo maana wakaweka pocket Wi-Fi na 4G+/5G router.

Pocket Wi-Fi ni kwa ajili ya wale wenye matumizi kwa mwezi 10GB mpaka 20GB. Na 4G+/5G router ni kwa wale wenye matumizi kwa mwezi hata 1TB na kuendelea. Wewe 4G+/5G router itakufaa. Tafuta 4G+/5B router.
 
Ambayo
Ambayo niandae walau ngap kwa mwezi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…