Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa jamaa wahuni wakiona unapata Raha wana minya spidi Cc ephen_Airtel wameanza tena ujinga waoView attachment 3083498
Pocket Wifi ya mtandao gani?Wazee wa tech. Naombeni kuuliza kuhusu hizi pocket Wi-Fi zilizolockiwa na mtandao zisome mtandao mmoja tu.
1: Mfano nimepoteza pocket Wi-Fi ila laini iliyokuja na hiyo pocket Wi-Fi haikupotea. Nitaweza kutumia hii laini wakati pocket Wi-Fi yake imepotea?
2: Mfano nimepoteza laini iliyokuja na pocket Wi-Fi, ila pocket Wi-Fi yake sijapoteza. Kuna uwezekano wa kurenew laini?
3: Wanasema hizi laini zinazokuja na pocket Wi-Fi ni laini za M2M. Huwezi kununua hizi laini bila pocket Wi-Fi?.
4: Kama inawezekana kununua laini tupu za M2M bila pocket Wi-Fi. Vifurushi vya pocket Wi-Fi vitafanana na vya laini tupu ya M2M?
Scars, Chief-Mkwawa.
Wakuu kwema ,Pocket Wifi ya mtandao gani?
Pocket Wi-Fi za mitandao nyingi zinakuwa ni vifurushi maalumu
Na uzuri ni kwamba dili ni kuwa na ile laini tu kwasababu unaweza kuitumia hata kwenye universal Router yeyote.
Line ya Router au line gani?Wakuu kwema ,
Nimefungiwa laini yangu ya tigo kwasababu ety watu wengine hawajalipia huduma hio , kwanini wasifungiwe wao tu.
Wakuu mliowahi kupitia kero hii naombeni njia ya kusovu hili
Ya kawaida ya tigo , postpaidLine ya Router au line gani?
🫡Waraka wa WaterNet kwa wana JF
Mpaka sasa nishatumia mitandao mitatu.
Voda, Tigo na TTCL.
1. Voda nimetumia 20Mbps kwa 115k mwaka 1, nusu mwaka wa Voda nimekuwa nikipata hudumu mbovu below 5Mbps kuna muda hata WhatsApp call haifanyi kazi.
2. Nikahamia Tigo. Nimeitumia kwa miezi 6 kifurushi cha 10Mbps kwa 70k. At the beginning ndio nilikuwa na changamoto ya 10GB per day nikawatafuta tafuta sana wanaclaim ni unlimited but nikiwaelezea scenario ninayokutana nayo wanashangaa sikutaka usumbufu wa kufuatana ofisini kwa sababu matumizi yangu hayakuwa makuubwa saana mengine nakayapunguza ila kuna muda nikitaka ku-updates games kwenye PlayStation hapo ndio naboeka but kuna siku tu nikapokea simu toka 100 kuniuliza changamoto ninayokutana nayo nikawapangilia wakaniambia nisbiri kidogo baada ya 30mins nikaambiwa tayari limeshakuwa resolved. Nakuja kutest tena nikakuta LIMIT ya 30GB per day. Nikaona inavumiliika kwangu maana SPEED HAIKUWA NA LIMIT, Eneo nililopo halikuwa na 5G so speed kubwa nimewahi Xp ilikuwa 220Mbps
View attachment 3082844
TTCL wakaja kunichomoa kutoka Tigo ila sikutaka kuwaacha moja kwa moja nikaipeleka home, mwisho wa siku wanaitumia wao nalipia mimi huku 70k Tigo huku 55k TTCL nikawapiga chini home baada ya mdau wangu kuiomba router ya Tigo now anaendelea kulisongesha
3. TTCL natumia fiber 20/10Mbps kwa 55k.
TTCL niliomba mwezi 8 2022 wamekuja kunifungia mwezi wa 6 2024. Maisha ya unlimited na TTCL ni saaf kabisa binafsi sijaona throttling yoyote maana test ya kwanza kuifanya ilikuwa ni kupiga PS chini na kuanza kudownload games upya na nilifanya hivi mara mbili ili nione nikifika TB mzigo unakata so ni 800GB+ mara mbili, internet haikukata na speed iko mule mule kwenye 17-19Mbps.
Plus kuna advantage nyingine kama wewe ni mtu wa IT maybe unaweza ikakufaa. Hawa jamaa router yako ikiconnect kwenye mtandao inakuwa na public Ip address but sio static but somehow ukiitafutia power bank unaweza enjoy hiyo sifa. So now niko natafanya uchunguzi ni lease time ya IP address uliyopewa. Leo ni siku ya 4 Router iko on with the same IP address.
Niliwatafuta kuwauliza price ya static public IP address kwa wateja faiba mlangoni kwako wakaniambia kwa wateja wanaolipia vifurushi kuanzia 200k wanapewa static IP.
Drawback ni kwamba iko fixed ninapokaa compare na wengine
Gaming Xp
Huwa nachezaga sana Rocket League game ambalo linahitaji bandwidth ndogo sana around 1Mbps na liko sensitive sana na Latency 1-100ms utainjoy game 100-200ms latency iwe stable isiwe inacheza sana utainjoy game 200-250ms hapo utaanza kuona changamoto 250ms+ utakachokiona ni kuganda ganda tu na sio game.
Voda nilikuwa naweza kucheza game kwa servers za South Africa latency ilikuwa around 75-90ms. Nje ya south africa ni migando tu. Na ni lazima nidisconnect user wote niache PS tu ndio latency itulie kwenye hiyo 75-90ms
Nilijaribu Airtel siku moja ila latency yake haiko stable KABISA 50-800ms+ within a minute unaweza xp migando hata mitano.
Tigo wao wako vizuri naweza nikawa na user hata wa5 wako online haijalishi ni youtube au ni insta latency yao iko stable kwa server za South na baadhi ya UK
TTCL latency yao ndogo kwa servers nyingi za UK 100-200ms ila kwa servers za SA kidogo ni changamoto kuna siku inakuwa vizuri mara nyingi inakuwa kwenye 300ms+
TTCL to rain Network Johannesburg SouthAfrica
View attachment 3082854
TTCL to YouFibre London UK
View attachment 3082855
So long story short.
Voda usiniombe ushauri nitawakandia nime Xp 4G yao ni hovyo, 5G naona tu wadau wanapost 400Mbps natamani niione kwa macho yangu kabisa.
Tigo wako vizuri sana ila Router bei ya kiwanja.
TTCL kwa matumizi ya nyumbani utaenjoy saana. Usipokubali kuwa msumbufu kuwafuata fuata ofisini kwao watakuletea huduma ukiwa umeshahama kama wewe ni mpangaji.
-Pocket Wi-Fi ya mtandao wowote tu ule, tufanye ya Airtel.Pocket Wifi ya mtandao gani?
Pocket Wi-Fi za mitandao nyingi zinakuwa ni vifurushi maalumu
Na uzuri ni kwamba dili ni kuwa na ile laini tu kwasababu unaweza kuitumia hata kwenye universal Router yeyote.
Okay nimekuelewa.-Pocket Wi-Fi ya mtandao wowote tu ule, tufanye ya Airtel.
-Ndiyo, nimelenga hivihivi vifurushi maalum vya pocket Wi-Fi.
-Laini tupu ya M2M bila pocket Wi-Fi nafikiri vifurushi vyake siyo vizuri sana kama laini ya M2M inayokuja na pocket Wi-Fi, lakini sijui, sina uhakika na hili. Labda mtu akuuzie laini ya M2M iliyokuja na pocket Wi-Fi ndiyo utafaidi. Changamoto itakuwa kuingiza router number wakati wa kununua kifurushi.
Ahsante mkuu, hapo kwa sasa sina swali.Okay nimekuelewa.
Ni kwamba hapo mchawi ni laini na hiyo situation ilimkuta jamaa yangu.
Cha msingi we sajili tu line nyingine ya M2M nadhani ni 10K halafu ukisajili hiyo line kailipie kifurushi.
Maana yake option ya kuweka namba ya Router utaweka hiyo namba yako uliyosajili.
Jana nmekutana na huu upumbavu ikabidi nilipe madeni yote 90k then nkawaomba huduma kwa wateja nkawatoa ote ambao walijiunga kupitia jina langu.Wakuu kwema ,
Nimefungiwa laini yangu ya tigo kwasababu ety watu wengine hawajalipia huduma hio , kwanini wasifungiwe wao tu.
Wakuu mliowahi kupitia kero hii naombeni njia ya kusovu hili
Hii huduma ikoje mkuu na ni mtandao gan?-Pocket Wi-Fi ya mtandao wowote tu ule, tufanye ya Airtel.
-Ndiyo, nimelenga hivihivi vifurushi maalum vya pocket Wi-Fi.
-Laini tupu ya M2M bila pocket Wi-Fi nafikiri vifurushi vyake siyo vizuri sana kama laini ya M2M inayokuja na pocket Wi-Fi, lakini sijui, sina uhakika na hili. Labda mtu akuuzie laini ya M2M iliyokuja na pocket Wi-Fi ndiyo utafaidi. Changamoto itakuwa kuingiza router number wakati wa kununua kifurushi.
Kwa sasa mitandao ninayoijua mimi yenye pocket Wi-Fi zenye vifurushi maalum ni miwili tu, Airtel na Halotel.Hii huduma ikoje mkuu na ni mtandao gan?
Bdo gb ndogo kwanguKwa sasa mitandao ninayoijua mimi yenye pocket Wi-Fi zenye vifurushi maalum ni miwili tu, Airtel na Halotel.
Pocket Wi-Fi za Airtel na Halotel zinauzwa 50,000, zinauzwa pamoja na laini. Ukishanunua unapewa ofa ya 20GB utumie bure mwezi mzima. Mwezi ukishaisha utachagua ujiunge 10GB kwa mwezi kwa 10,000. Au 15GB kwa mwezi kwa 15,000. Au 20GB kwa mwezi kwa 20,000.
Mitandao ya simu waliliona hilo, ndiyo maana wakaweka pocket Wi-Fi na 4G+/5G router.Bdo gb ndogo kwangu
Ambayo niandae walau ngap kwa mwezi?Mitandao ya simu waliliona hilo, ndiyo maana wakaweka pocket Wi-Fi na 4G+/5G router.
Pocket Wi-Fi ni kwa ajili ya wale wenye matumizi kwa mwezi 10GB mpaka 20GB. Na 4G+/5G router ni kwa wale wenye matumizi kwa mwezi hata 1TB na kuendelea. Wewe 4G+/5G router itakufaa. Tafuta 4G+/5B router.