Mkwawa natambua hilo.SMS ni herufi kama 160 hivi, uki zidisha hata kama umetuma sms kama moja ita count sms 2 kwa mpigo. Kuna simu nyengine refurbished sms ni kama maneno 120 tu.
Achana nao TTCL miyeyusho sanaHalotel fiber yao bado haijafika eneo langu.
Nikapata wazo la kuwacheki TTCL kuwakumbusha kuhusu jibu lao kuwa vifaa vimeisha.
Cha ajabu eti vifaa mpaka saizi bado havijaja naambiwa nisubirie.
Daah nimestuka nikawaambia hivi mnaelewa huu ni mwaka sasa tangu mseme hivyo?
Kama kwa mwaka mzima hivyo vifaa havijaweza kuwasili basi kwa jibu rahisi ni kwamba hivyo vifaa kupatikana haiwezekaniki.
TTCL wamenipa ahadi ya Yesu nashindwa hata kujua ni lini hivyo vifaa vinakuja.
Vifaa kuisha ni lugha wanayotumia muda wote viwepo au visiwepo. Scars karibu yako kuna watu wamefunga ttcl fiber?Halotel fiber yao bado haijafika eneo langu.
Nikapata wazo la kuwacheki TTCL kuwakumbusha kuhusu jibu lao kuwa vifaa vimeisha.
Cha ajabu eti vifaa mpaka saizi bado havijaja naambiwa nisubirie.
Daah nimestuka nikawaambia hivi mnaelewa huu ni mwaka sasa tangu mseme hivyo?
Kama kwa mwaka mzima hivyo vifaa havijaweza kuwasili basi kwa jibu rahisi ni kwamba hivyo vifaa kupatikana haiwezekaniki.
TTCL wamenipa ahadi ya Yesu nashindwa hata kujua ni lini hivyo vifaa vinakuja.
Mimi hii line nayohangaika nayo ni ya ttcl. Kuna mambo ya ajabu sana kwenyw hii line basi tu ni kama washajikatia tamaa, ukisajili kitu sehemu ukiweka hii line kupata otp ni mziki mwingine. Ukirusha vocha from labda airtel money na zenginezo ukirusha vocha 1000 ukishaingia ukiuliza salio unaweza kuta ipo 900Sasa mkuu kuna scenario imenitokea hapa kwenye 10. Mimi nimetuma 5 na majibu nimetumiwa 5. Nimetaka kutuma ya sita wamesema salio halitoshi.
Hiki kitu kinawezekana kweli?
Wale miyeyusho sanaAchana nao TTCL miyeyusho sana
Wale wajomba nimewanyooshea mikonoVifaa kuisha ni lugha wanayotumia muda wote viwepo au visiwepo. Scars karibu yako kuna watu wamefunga ttcl fiber?
Pambania hii mkuu. Iko vyema kakaWale wajomba nimewanyooshea mikono
Hapa mtaani hakuna ila kuna maeneo ya jirani niliona TTCL wanajipitisha pitisha ngoja nitafatilia
Kuhusu Fiber nimenyoosha mikonoPambania hii mkuu. Iko vyema kaka
Itakuwa wameminya. Yaani ni usumbufu tu. Spidi iko chini sana.Jamani hawa halotel vipi, mbona wamekuja kuminya speed. Au kuna shida mahali?
Kwa sasa acha Airtel aendelee kutuokoa tu..Kuna mwamba tuliichukua naye Router ya Halotel, nilianza mimi ye akafuata.
Sasa yeye sio mtumiaji wa matumizi makubwa mara nyingi anatumia kwenye Stationery yake kufanya vitu vidogovidogo.
Kile kipindi ambacho internet kwangu ilikuwa inazingua nikawa namuambia mwezi ujao silipii tena Halotel nimechoka na speed ya kobe.
Yeye akawa ananishangaa kwasababu kwa upande wake anaona mambo fresh.
Sasa jana ndio ananiambia "Aloo Halotel kweli hawafai" namuuliza imekuwaje? Ananiambia leo ilimlazimu aunge bando la buku ili aweze kufungua Gmail
Ushawahi kufikisha matumizi ya 500GB kwenye Router yakoKwa sasa acha Airtel aendelee kutuokoa tu..
Router zake bado hazijapata mpinzani wa maana..
Japo kuna lags za hapa na pale lkn nimekuja kugundua ni shida ya mitandao yote.
View attachment 3087909
Huwa inazidi ila kufika 1T huwa ni mara chache sana.Ushawahi kufikisha matumizi ya 500GB kwenye Router yako
Hatimaye nimekutana na Mtu anayepitiaga ninachopitiaga.Mimi hii line nayohangaika nayo ni ya ttcl. Kuna mambo ya ajabu sana kwenyw hii line basi tu ni kama washajikatia tamaa, ukisajili kitu sehemu ukiweka hii line kupata otp ni mziki mwingine. Ukirusha vocha from labda airtel money na zenginezo ukirusha vocha 1000 ukishaingia ukiuliza salio unaweza kuta ipo 900
Na speed inakuwaje?Huwa inazidi ila kufika 1T huwa ni mara chache sana.
hawa unalalamika mpaka unaamua kwenda nao wanavotaka wao tuHatimaye nimekutana na Mtu anayepitiaga ninachopitiaga.
Naunga pia halotel tu 5gb kwa 5000 siku 14Speed yake ikoje mkuu?
na ukitaka ya mwezi vipi inapatikana?
ππππ Za Nini sie tunatumia unlimited ππNaunga pia halotel tu 5gb kwa 5000 siku 14
gb 10 elf10 siku 30
kuanzia gb 10 na kuendelea nakuunga cha mwezi
Speed haijawahi kushuka zaidi ya ile mida ambayo kila mtu analalamika hata wale wenye laini za kawaida za kwenye simu..Na speed inakuwaje?