Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

SMS ni herufi kama 160 hivi, uki zidisha hata kama umetuma sms kama moja ita count sms 2 kwa mpigo. Kuna simu nyengine refurbished sms ni kama maneno 120 tu.
Mkwawa natambua hilo.
Weekend ntajipa kazi ya uchunguzi wa kudhamiria kabisa. Maana hii situation hadi nimeileta nadhani ilishawahi kutokea hapo awali ila sikutilia maanani. Sasa hii ya hapa karibuni ndo imenipa wasiwasi huenda ikawa ni tatizo. Weekend ntalifatilia kwa ukaribu zaidi
 
Halotel fiber yao bado haijafika eneo langu.

Nikapata wazo la kuwacheki TTCL kuwakumbusha kuhusu jibu lao kuwa vifaa vimeisha.

Cha ajabu eti vifaa mpaka saizi bado havijaja naambiwa nisubirie.

Daah nimestuka nikawaambia hivi mnaelewa huu ni mwaka sasa tangu mseme hivyo?

Kama kwa mwaka mzima hivyo vifaa havijaweza kuwasili basi kwa jibu rahisi ni kwamba hivyo vifaa kupatikana haiwezekaniki.

TTCL wamenipa ahadi ya Yesu nashindwa hata kujua ni lini hivyo vifaa vinakuja.
 
Achana nao TTCL miyeyusho sana
 
Vifaa kuisha ni lugha wanayotumia muda wote viwepo au visiwepo. Scars karibu yako kuna watu wamefunga ttcl fiber?
 
Sasa mkuu kuna scenario imenitokea hapa kwenye 10. Mimi nimetuma 5 na majibu nimetumiwa 5. Nimetaka kutuma ya sita wamesema salio halitoshi.

Hiki kitu kinawezekana kweli?
Mimi hii line nayohangaika nayo ni ya ttcl. Kuna mambo ya ajabu sana kwenyw hii line basi tu ni kama washajikatia tamaa, ukisajili kitu sehemu ukiweka hii line kupata otp ni mziki mwingine. Ukirusha vocha from labda airtel money na zenginezo ukirusha vocha 1000 ukishaingia ukiuliza salio unaweza kuta ipo 900
 
Kuna mwamba tuliichukua naye Router ya Halotel, nilianza mimi ye akafuata.

Sasa yeye sio mtumiaji wa matumizi makubwa mara nyingi anatumia kwenye Stationery yake kufanya vitu vidogovidogo.

Kile kipindi ambacho internet kwangu ilikuwa inazingua nikawa namuambia mwezi ujao silipii tena Halotel nimechoka na speed ya kobe.

Yeye akawa ananishangaa kwasababu kwa upande wake anaona mambo fresh.

Sasa jana ndio ananiambia "Aloo Halotel kweli hawafai" namuuliza imekuwaje? Ananiambia leo ilimlazimu aunge bando la buku ili aweze kufungua Gmail
 
Kwa sasa acha Airtel aendelee kutuokoa tu..

Router zake bado hazijapata mpinzani wa maana..

Japo kuna lags za hapa na pale lkn nimekuja kugundua ni shida ya mitandao yote.

Screenshot_2024-09-05-17-19-03-254_com.android.chrome-edit.jpg
 
Mimi hii line nayohangaika nayo ni ya ttcl. Kuna mambo ya ajabu sana kwenyw hii line basi tu ni kama washajikatia tamaa, ukisajili kitu sehemu ukiweka hii line kupata otp ni mziki mwingine. Ukirusha vocha from labda airtel money na zenginezo ukirusha vocha 1000 ukishaingia ukiuliza salio unaweza kuta ipo 900
Hatimaye nimekutana na Mtu anayepitiaga ninachopitiaga.
 
Back
Top Bottom