Lax
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 4,740
- 7,179
Mkwawa natambua hilo.SMS ni herufi kama 160 hivi, uki zidisha hata kama umetuma sms kama moja ita count sms 2 kwa mpigo. Kuna simu nyengine refurbished sms ni kama maneno 120 tu.
Weekend ntajipa kazi ya uchunguzi wa kudhamiria kabisa. Maana hii situation hadi nimeileta nadhani ilishawahi kutokea hapo awali ila sikutilia maanani. Sasa hii ya hapa karibuni ndo imenipa wasiwasi huenda ikawa ni tatizo. Weekend ntalifatilia kwa ukaribu zaidi