Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Sema sijaona utofauti waliokuja kuleta

Hicho kifurushi cha 70K niliuliza nikaambiwa kina Mbps10 sawa na bundle la Router tu

Tena Router utakuwa umepunguza miwaya waya ndani pia utaweza kuibeba popote.
 
starlink price comparison
 
Sema sijaona utofauti waliokuja kuleta

Hicho kifurushi cha 70K niliuliza nikaambiwa kina Mbps10 sawa na bundle la Router tu

Tena Router utakuwa umepunguza miwaya waya ndani pia utaweza kuibeba popote.
Ujinga wa fibre ya Tigo ni gharama yao kubwa. 70,000 kwa 10mbps wakati wenzao 55k (TTCL) na 79k (Halotel) unapata 20mbps.

Kifurushi chao kinachofuata ni 100,000 kwa 20mbps. Wakati Halotel fibre kwa 95,000 wanakupa 40mbps na TTCL 100,000 wanakupa 40mbps.
 
Mtu wao wa market anakula hela za bure halafu plan hana
 
Inategemea na quality na route, TTCL malalmiko ya wengi humu (pia na mimi nimetest) ina ping kubwa sana kwa server za Ndani ya Africa, South Africa ama Kenya etc. Kama unacheza game ama kufanya kitu chochote serious na unategemea server za Africa tegemea lag za kutosha. Mimi nimehama ttcl 20mbps nimeenda Zuku 10mbps na overall experience ni nzuri zaidi Zuku.
 
Vipi kuhusu experience ya Halotel? Quality Yao ipoje maana ndio mtandao pekee ninaousubiria ufike eneo langu?
 
Sema sijaona utofauti waliokuja kuleta

Hicho kifurushi cha 70K niliuliza nikaambiwa kina Mbps10 sawa na bundle la Router tu

Tena Router utakuwa umepunguza miwaya waya ndani pia utaweza kuibeba popote.
Watanzania kiuhalisia kwa sasa tunahitaji zaidi unlimited za router kuliko hizo za majumbani kwa sababu maisha yetu muda mwingi tunaspend nje, tunarudi majumbani kulala tu.

Pia wengi bado tumepanga, hivyo kuvuta fiber nyumba ulopanga bado inakuwa haimake sense.

Hivyo kwa mimi, router bado inaendelea kuwa more convinient kuliko hizo fiber kwa sababu na move nayo popote niendako.
 
Tigo inawezekana wamedhamiria,maana baada ya kilio cha muda mrefu wa kukosa network maeneo ya kiluvya,kibamba,kiluvya,malamba mawili,king'azi na kifuru tigo wameanza kujenga minara hayo maeneo,kwangu net ni shida mno,ukiwa ndani ndio upatikani kabisa,tigo now wanajenga mnara kutokea kwangu kama mita 500 hivi
 
To me ping za TTCL ziko vizuri kuliko za Voda.
Nipeni Server niwatumie screenshot.
 
Speedtest.net ping kenya ama south Africa
Ya kwenye browser hainipi option ya kuchagua server.

Seacom - Isando South Africa


Rain - Johannesburg South Africa


Liquid Intelligent - Nairobi Kenya


Zuku - Nairobi Kenya



Na hapo kuna watu 2 wanazurula na Reels za IG ingekuwa voda ping ungezikuta juu ya bati 300ms to 700ms.
Online gaming ping below 100ms uko vizuri, 100ms hadi 200ms lags kwa mbaali sana.
 
Hii ping nzuri bila shaka mkuu, unatumia fiber ya TTCL? Either wamefix hii issue ama una Access ambayo mimi na wadau wengine humu tulikuwa hatuna. Fiber ya TTCL kenya na south ilikuwa inaping hadi 300ms
 
Hii ping nzuri bila shaka mkuu, unatumia fiber ya TTCL? Either wamefix hii issue ama una Access ambayo mimi na wadau wengine humu tulikuwa hatuna. Fiber ya TTCL kenya na south ilikuwa inaping hadi 300ms
Natumia fiber ya TTCL na siko mjini.

Splicing mbovu ya Fiber husababisha ping mbovu. Kuna mtu alipost humu anatumia fiber ya TTCL ila ping kwenda server ya TTCL ilikuwa 60ms while mimi kwenda TTCL kwa Wi-fi ni 3-4ms kwa Ethernet 2ms
 
Wadau mnijuze kidogo.
naombeni kufahamu taratibu za kuweza kujiunga na kifulushi maalumu cha biashara (m2m) Kwangu mimi mteja wa laini ya haloteli upoje
CHIEF MKWAWA
 
Wakuu hizi router za Airtel zipo compatible na extender za antenna zenye uwezo wa kufika mita 300+?
Extender za antenna hapa TZ zipo na sh ngapi?

Kuna watu wanahitaji huduma hii ndo maana nauliza

Mwenye mawazo maana tutasaidia wengi
Cc Chief Mkwara na wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…