Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Sema sijaona utofauti waliokuja kuletaKatika mapinduzi mapya yaliyotangazwa na @Tigo_TZZ ambao ni Mtandao namba 1 kwa internet yenye kasi zaidi Nchini Tanzania kwa mujibu wa Ookla, Wakazi wa maeneo ya Mbweni, Boko na Bunju wamependelewa kwa kuwekwa kwenye kundi la kwanza la Watanzania watakaofaidi huduma mpya ya kusambaziwa Internet kwa waya ( fiber) majumbani na maofisini kwa gharama ya shilingi elfu 70 peke yake.
Huduma ya FIBER imeanza kutolewa ikiwa ni miezi kadha toka Tigo walipotangaza kuwekeza mabilioni ya shilingi za Kitanzania kwenye teknolojia na mitambo yao ili kuongeza kasi ya huduma zake za mawasiliano pamoja na internet yenye kasi.
Mpango uliopo ni kuisambaza FIBER INTERNET Nchi nzima lakini kwa sasa bahati imeanzia kwa Wakazi wa Mbweni, Bunju na Boko katika Ofisi zao zilizopo maeneo hayo au Nyumba za makazi, wataanza kunufaika na huduma hiyo ya intaneti ya uhakika na isiyo na kikomo kwa shilingi elfu 70.
Wateja wanaohitaji kuunganishwa wanaweza kuwasiliana na Tigo moja kwa moja kwa njia ya Whatsapp namba 0714-100-100 au kupiga namba 100 huduma kwa Wateja au email prepaidfiber@tigo.co.tz #MillardAyoUPDATES
Hicho kifurushi cha 70K niliuliza nikaambiwa kina Mbps10 sawa na bundle la Router tu
Tena Router utakuwa umepunguza miwaya waya ndani pia utaweza kuibeba popote.